DARLY G KENYA

DARLY G KENYA Tv/radio presenter

News anchor

Voice over artist

Radio girl

Music producer

Advertise with us
(2)

Mnaonaje kitovu changu wadau ni k**a cha yammi au nimemzidi?Darly G Kenya
10/07/2025

Mnaonaje kitovu changu wadau ni k**a cha yammi au nimemzidi?

Darly G Kenya

Mwanaume nisikilize!Umasikini unauma zaidi ukiwa mwanaume. Familia inakutazama tofauti sana hata k**a haikuambii ila we ...
08/07/2025

Mwanaume nisikilize!

Umasikini unauma zaidi ukiwa mwanaume. Familia inakutazama tofauti sana hata k**a haikuambii ila we fahamu tu kuwa kuna vile wanawaza na kukutazama. Ukiwa huna pesa kuna namna fulani watu wanakunyima heshima au wanakukadiria heshima.

Ukiwa huna pesa hakuna anayejali unachosema haijalishi unasema point au jambo la maana kiasi gani. Na ukiendelea kutoa msisitizo ili point yako isikilizwe utaambiwa unapiga kelele au unaleta vurugu kwenye kikao.

Kwenye sherehe na misiba k**a huna hela utawekwa kwenye kitengo cha kupasua kuni na kufunga maturubai bila kujali umri wako. K**a huna pesa watu hawaheshimu umri, watakukadiria heshima kulingana na kipato chako.

Tunaishi katika Dunia ambayo haina huruma kwa mwanaume asiye na pesa. Dunia ni sehemu katili kwa mwanaume masikini si Kanisani si hospitalini k**a huna pesa wewe si lolote si chochote hata aina ya maombi utakayopewa na heshima utakayopewa ni tofauti sana.

Hata Kanisani wewe hata uwe na wanawake 6 na vimada 6 lakini una hela heshima yako italindwa, lakini k**a huna pesa utatengwa. Hata Kanisa haliwapi kipaumbele wala heshima watu wasio na pesa.

Mwanaume amka kila siku ufanye kazi kwa bidii na kwa akili na maarifa β€” dunia ni katili sana kwa mwanaume maskini.

Hii inaweza kuwa inaumiza kuisikia lakini ndio ukweli mchungu.



Darly G Kenya
Sauti ya wasio na sauti

mdundo.com/a/188105

03/07/2025

NI KERO GANI UNAKUTANAYO KWENYE NYUMBA ZAKUPANGA.
Tuambizane

SHERIA NDOGO ZA ULAJI WA NDIZI MBIVU.Osha mikono yako iwe safi. Chunga kucha zako.Ukiimenya maganda, yahifadhi sehemu sa...
02/07/2025

SHERIA NDOGO ZA ULAJI WA NDIZI MBIVU.

Osha mikono yako iwe safi. Chunga kucha zako.

Ukiimenya maganda, yahifadhi sehemu sahihi. Usiyatupe chini, yaheshimu.

Vuta pumzi, taratibu toa nyuzinyizi ili zisikukwaze katika kuila.

Ndizi mbivu ina siri, k**a muda unao basi imung'unye ili uipate sukari yake taratibu.

Mung'unya kidogo kidogo kutokea mwanzo. Hakikisha ulimi unaikandakanda ili upate hiyo sukari ya ndizi vizuri.

Imung'unye kwa kadri ya uwezo wa kinywa chako. K**a si kubwa sana, unaweza kuimung'unya k**a unataka kuimeza hivi!, Kisha unairudisha.

Hapo hata akija mtu hawezi kukuomba maana, umeipaka mate yako. Sasa unaweza kuilamba.

Ilambe ndizi vizuri kabisa na mwisho, peleka mkono uishike ndizi na uimung'unye na kuilamba huku unaikula pasi na kuing'ata kwa meno yako.

Fuata hii link ndani yake kuna mazuri mdundo.com/a/188105 download hizo nyimbo

Tumia muda kadri ya uvumilivu wako. Kisha ibugie, mara hii kula ndizi k**a kibogoyo. Unaweza kuila na kitumbua, si kwa ubaya.

*MAADA HII HAIHUSIANI NA NDIZI πŸ™„*

VITU WASIVYOPENDA WANAWAKE Haya ni mambo ambayo wanaume wengi hufanya wakiwa kwenye tendo la ndoa na wanawake wao kitand...
02/07/2025

VITU WASIVYOPENDA WANAWAKE

Haya ni mambo ambayo wanaume wengi hufanya wakiwa kwenye tendo la ndoa na wanawake wao kitandani, lakini wanawake hawapendi kabisa hizi tabia

1. Wanawake hawapendi kupimwa oil - hii ni ile tabia ya mwanaume kuingiza vidole vyake sehemu ya uke wa mwanamke. Humuumiza sana mwanamke, anaweza asikwambie lakini ina athari kiafya pia kwa sababu vidole si salama na hushika vitu vingi

2. Kiss kabla hujapiga mswaki - wanaume wengi kutokana na majukumu hujisahau na kuwa wachafu. Hii hupelekea kutaka kiss hata kabla ya mswaki, kiukweli hupoteza kabisa msisimko wa hisia kitandani

3. Kumfanya kwa nguvu - bro unamfanya mwanamke kana kwamba mmegombana au unamkomoa? Jaribu kuwa mstaaarabu kitandani, mbembeleze, muandae vizuri ndipo umfanye kwa ustadi. Huo mchezo hauhitaji hasira wala nguvu, ni akili. Ukimudu hili, mtoto wa mamkwe atatoa utamu wote kwa hiari

4. Kumfanya kabla hujamuandaa - hiki ni kitu kingine kinachokera wanawake. Unakimbilia haraka k**a kuna deadline, wakati mwenzio bado hata hajahisi chochote. Kuwa taratibu, muandae kwanza, mpe tamu bila ushamba

5. Wanaume wachafu - mwanamke wako anaweza asikwambie, lakini hapendi uchafu wako. Kazi unayofanya isiwe sababu ya wewe kuwa mchafu. Hakikisha unakuwa msafi hasa kwenye mazingira ya kitandani

Vipo vingi sana lakini hivyo ni zaidi ambavyo wanawake wamenituma nije kuwaambia

Mie mjumbe tu

Nawapenda sana, ❀️❀️ Darly G Kenya

USIJARIBU KUUVUNJA MOYO WA MTU ALIYEAMUA KUKUPENDA KWA HIYARI YAKE MAANA YA MATOKEO KATIKA JARIBU LAKO NI ANGUKO LAKO MW...
02/07/2025

USIJARIBU KUUVUNJA MOYO WA MTU ALIYEAMUA KUKUPENDA KWA HIYARI YAKE MAANA YA MATOKEO KATIKA JARIBU LAKO NI ANGUKO LAKO MWENYEWEπŸ’―

Upendo wa kweli ni utashi wa mtu mwenyewe, ndo maana mtu k**a hakupendi kamwe hataweza kukupenda, kwanza ifahamike wazi;-
πŸ‘‰πŸΌ KUNA TOFAUTI KUBWA KATI YA UPENDO WA MOYO NA UPENDO WA SABABU.
Mtu akikupenda kwa moyo analohitaji toka kwako ni wewe kutambuwa ANAKUPENDAπŸ“
Upendo wa sababu wenyewe unajiendesha kwa sababu ile ile mtu alikuja nayo kwako na hiyo sababu ikikosekana na upendo huo unakufaπŸ“Œ
Unapojaribu kuonyesha kwamba upendo wa kweli unaopewa ni haki yako ni kujaribu kuua imani ya mwingine juu yako Kwani UPENDO alokupa ni wa utashi wake tu, mapenzi yanatawaliwa na IMANI na asikudanganye mtu IMANI IKIFA fahamu na UPENDO WA KWELI UNAKUFA PALEPALE na k**a mtu akibakia nawe usiamini katika UPENDO ila amini katika mazoea yanaweza kumbakisha akitengeneza ujasili wa kuoodoka jumla, kuna gharama kubwa katika kumuondoka uliyempenda ndo maana wenye UPENDO WA DHATI πŸ’ hawaachi haraka ili kukwepa maumivu ya aina mbili, nafasi ya pili unaweza kupewa ikiwa utaonyesha MAJUTO KWA JARIBIO LAKOπŸ€¦πŸ»β€β™‚οΈ
K**a unapendwa jibidiishe katika kuuaminisha moyo wa Mwingine juu ya KUTHAMINI UPENDO HUO vinginevyo usijiamini sana kuwa umefika kwani wakati wowote PENZI LITAVUJAπŸ’¦
Heshimu kila hatua ya UPENDO mtu anakupa kwani yawezekana nae ni mhitaji wa UPENDO ndo maana anajitoa kwako kukupenda, Kuna wakati mtu hajawahi penda ila yeye anapendwa inapofika mahala akahisi hakuna anayethamini UPENDO wake ni mbaya kuliko mnyamaπŸ“
Mara nyingi watu tunakosa maana ya UHUSIANO ama NDOA kwa kuangalia tutokapo, lakini haimaanishi hawapo watu wanaohitaji UPENDO WA DHATI πŸ’˜

Jay S Wadhamas

mdundo.com/a/188105

πŸ’‹KIUNO KIUNOπŸ‘ŒπŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™Kiuno kitandani kuna baadhi ya wanawake hili swala hawalielewi  muniwie radhiπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žRaha ya kiu...
02/07/2025

πŸ’‹KIUNO KIUNOπŸ‘Œ
πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™
Kiuno kitandani kuna baadhi ya wanawake hili swala hawalielewi muniwie radhiπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž
Raha ya kiuno kitandani iwe kwa wote viuno vinatakiwa viesikilizane Viuno pale kukikata kiufundi hasa kina Dada sio unajikatia tu ilimradi na wewe uonekane wajua kukikata apana chakatwa kulingana na staili ya mtwangio
πŸ”ΉπŸ”ΉπŸ”ΉπŸ”ΉπŸ”ΉπŸ”ΉπŸ”ΉπŸ”ΉπŸ”ΉπŸ”ΉπŸ”Ή
Kukata kwenu vibaya mwasababisha hisia za waume kukatika kila mda, Zungusha mtoto wa k**e sampuli ya tairi ilopinda haya mambo yaitaji ujuzi sio unatikisa miguu tuu.
πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜
Jitahidi mnapo kua safarini unajifaragua utafkiri wakimbiza mwizi jaribu na wewe kufata mapigo yaa mumeo wamjua wewe, wakati mwingine ataki kiuno chako hasa pale anapo karibia kileleni mwa safari anajazba kwa kasi ya hali ya juu hapo Watakiwa uwe makini sna ukitoa hapo hatokusahau si kwa kukupenda ni kwa kumkomesha raha tena ata kukasirikia kila unapo fika mda wa tendo la ndoa anaona utamtibulia utamu wake.
πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™
zingatia wakati mwingine nyie mwaona mwakata kumbe mwawaumiza tu waume au mnakata hisia mnaanza upya alafu mwisho Bebi "dear mbona mapema mie bado "wakati kiuno chako kimemuumiza,Ukataji kiuno una kupa raha katika jimai kumpagawisha na kumpa raha ipasavyo mwenza wako,raha ya jimai ni kupeana raha kwa kila mmoja hadi atosheke na kiu yake sio mmoja ametosheka na mwingine bado yupo sio hivyoooo,Kutokana na mautamu mkajiona muko angani kumbe muko kwenye sita kwa sita.
πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹?πŸ’‹
Raha ya Kiuno injini Iwe nzima ya mime sio hadi isukumwe Mara izime mlimani tena raha
πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜
Shanga kiunoni zizunguke kwa mikato ya feni mbovu uku mkibadili mikao hadi raha

*MWANAMKE MAUTUNDUπŸ’‹*

MAMBO 4 YAKUFICHA UKIWA KWENYE NDOA:🍍🍍🍍🍍🍍🍍     TENDO LA NDOA:πŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌUsijaribu hata siku moja ukatoa siri ya kitanda...
02/07/2025

MAMBO 4 YAKUFICHA UKIWA KWENYE NDOA:
🍍🍍🍍🍍🍍🍍

TENDO LA NDOA:
πŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌ
Usijaribu hata siku moja ukatoa siri ya kitandani, mara nyingi tuna tabia ya kuelezea marafiki mambo tunayo fanya kitandani na wenzawetu ambapo nimakosa ni hatari katika ndoa yako🌷🌷🌷🌷🌷🌷

UGOMVI:
Sio vizuri kuelezea watu kua nnaugomvi na mwenzawangu, utakua umewapa watu faida na kuishusha thamani ndoa yako
πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

PESA:
Jaribu kuhifadhi kipato chenu ili watu wasijue ni kiasi gani mnacho miliki, Msaidie jamii ila sio kujifakhirisha itakua mnajitafutia hasad
🌺🌺🌺🌺🌺🌺

MAPUNGUFU YA MWENZAKO:
hunaongea eti mume wangu ana kibamia sitosheki, Nataka nikwambie.....Laiti ungetulia bila kuonja onja isingefikia ukasema mumeo ana kibamia, unaolewa umetembea na wanaume 12 watarajia atakae kuoa awe na kifulio cha n**i ama nini? Sasa haina haja ya kutoa mapungufu ya mwenzawako kwa watu.
πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’–

Sikiliza mdundo.com/a/188105

Follow me Jay S Wadhamas

Angalia tofauti kati ya mimba ilyotunga kwenye kizazi kawaida (Normal pregnancy) na mimba ilyotunga nje ya kizazi (Ectop...
30/06/2025

Angalia tofauti kati ya mimba ilyotunga kwenye kizazi kawaida (Normal pregnancy) na mimba ilyotunga nje ya kizazi (Ectopic pregnancy)..

▫️Normal Pregnancy: Yai lililorutubishwa hutunga kwenye ukuta wa ndani wa mfuko wa uzazi (uterus).

▫️Ectopic Pregnancy: Yai lililorutubishwa hutunga nje ya mfuko wa uzazi β€” mara nyingi kwenye mirija ya falopia (fallopian tubes), lakini pia linaweza kutunga kwenye ovaries au shingo ya kizazi (cervix).

β–ͺ️Normal Pregnancy: Mimba huendelea kukua vizuri kadri muda unavyosonga.

β–ͺ️Ectopic Pregnancy: Mimba haiwezi kuendelea kukua kawaida na ni hatari kwa maisha ya mama; huweza kupasua kiungo kilipotunga na kusababisha kutokwa na damu nyingi.

Dalili za Normal Pregnancy:
πŸ”ΉKukosa hedhi
πŸ”ΉKichefuchefu
πŸ”ΉUchovu
πŸ”ΉMaumivu madogo ya tumbo ya kawaida
Dalili za Ectopic Pregnancy:
πŸ”ΉMaumivu makali ya upande mmoja wa tumbo
πŸ”ΉKutokwa damu ukeni (nje ya siku za hedhi)
πŸ”ΉKizunguzungu au kupoteza fahamu (ikizidi)
Normal Pregnancy: Inaweza kuendelea hadi kujifungua mtoto.

Ectopic Pregnancy: Haiwezi kuendelea hadi mtoto kukua; lazima ihitishwe kwa usalama wa mama.
Ikiwa kuna wasiwasi wa mimba ya ectopic, ni muhimu mama afike hospitali mara moja kwa uchunguzi na matibabu ya haraka

Skiza mdundo.com/a/15130

Follow
DARLY G KENYA

30/06/2025

I gained 11,965 followers, created 84 posts and received 674 reactions in the past 90 days! Thank you all for your continued support. I could not have done it without you. πŸ™πŸ€—πŸŽ‰

Paka mwenye malengo hawezi kula panya mwenye mimbaπŸ“Œ
24/06/2025

Paka mwenye malengo hawezi kula panya mwenye mimbaπŸ“Œ

Address

Nakuru

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DARLY G KENYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to DARLY G KENYA:

Share