Habari 254tv

Habari 254tv Kisiwa Cha Burudani. News And Entertainment
(1)

YOUTUBE- 254
--------------------------------
Entertainment
Politic
Lifestyle
News
International & Local Content
Sports
Education
Events
Showbiz

20/08/2025

Waziri Wa Usalama Wa Ndani Nchini Kenya Murkomen Akiwatania Watanzania Kuhusu Madai Kuwa Wakenya Wamenunua Tiketi Zote Ili Kuwazuia Kuhudhuria Mchuano Wa Robo Fainali CHAN 2024 Kati Ya Tanzania Na Morocco

Mwamba Aaron Wan-Bissaka Wa West Ham United NI Rasmi Ataitumikia Taifa La DRC CONGO Baada Ya Kupokea Paspoti Ya Taifa Hi...
20/08/2025

Mwamba Aaron Wan-Bissaka Wa West Ham United NI Rasmi Ataitumikia Taifa La DRC CONGO Baada Ya Kupokea Paspoti Ya Taifa Hilo .

Ataanza Rasmi Kuitumikia DRC Congo Kuanzia Mwezi Ujao. Ana Asili Ya Kongo Na Aliwahi Chezea DRC CONGO Mara Moja Katika Kikosi Cha Vijana Chini Ya Umri Wa Miaka 20 Mwaka 2015.

Mwamba Amerudi Nyumbani .Joash Onyango ‘Ukuta Wa Berlin’ Amejiunga Na Mabingwa Wa Ligi Kuu Nchini Kenya  FC
20/08/2025

Mwamba Amerudi Nyumbani .Joash Onyango ‘Ukuta Wa Berlin’ Amejiunga Na Mabingwa Wa Ligi Kuu Nchini Kenya FC

MADAI YA TIKETI KUKOSEKANA ,TANZANIA DHIDI YA MOROCCO Watanzania Wanadai Tiketi Zote Zimenunuliwa Na Wakenya Kuelekea Mc...
20/08/2025

MADAI YA TIKETI KUKOSEKANA ,TANZANIA DHIDI YA MOROCCO

Watanzania Wanadai Tiketi Zote Zimenunuliwa Na Wakenya Kuelekea Mchuano Kati Ya Tanzania Na Morocco Ugani Benjamin Mjapa Jijini Daresalaam .

Watanzania Wanadai Hii Ni Njama Ya Kuhakikisha Uwanja Wa Benjamin Mkapa Hauna Mashabiki Wakati Wa Mchuano.

Hali Hii Imeibua Hofu Miongoni Mwa Watanzania r Soka Na Kukemea Tendo Hili Ata Ingawa Wachanganuzi Wa Soka Wanadai Hizi Ni Lawama Za Kuwapa Sababu Za Kutohudhuria Mchuano Huo .

MWANDISHI Fazul Khalid

Mazingira Imemkubali Mohammed Bajaber Pale Msimbazi ! Chapa Kazi Mkenya !
19/08/2025

Mazingira Imemkubali Mohammed Bajaber Pale Msimbazi !

Chapa Kazi Mkenya !

MAJIRANI UGANDA ROBO FAINALI !
19/08/2025

MAJIRANI UGANDA ROBO FAINALI !

18/08/2025

Marufuku Kurusha LIVE Kesi Ya Tundu Lissu - MAHAKAMA

WANATAKA KUMNYONGA TUNDU LISSU KWA SIRI ~ John HECHE JOHN HECHE Ambaye Ni Makamu Mwenyekiti Wa CHADEMA Ameposti Picha Hi...
18/08/2025

WANATAKA KUMNYONGA TUNDU LISSU KWA SIRI ~ John HECHE

JOHN HECHE Ambaye Ni Makamu Mwenyekiti Wa CHADEMA Ameposti Picha Hii Ya Mwenyekiti Wa CHADEMA TUNDU LISSU Na Kuandika Hivi Kwenye Mtandao Wa X

‘’Watanzania wameona, watanzania wanajua, kuweka kesi hii gizani na kuzuiliwa kwa taarifa kunawafanya Watanzania wathibitishe zaidi kuwa ni kesi ya uongo na wanataka kumnyonga Lissu kwa siri.

Makaburu waliruhusu kesi ya Mandela na wengine kufanyika kwa njia ya kamera miaka 63 iliyopita, bado leo zama za teknolojia wanazuia kesi isitangazwe moja kwa moja ili umma ujue huo usaliti !!

Aibu. ‘’

18/08/2025
Mtoto Akililia Wembe Mpe . Kwenye Robo Fainali Ya CHAN2024 Tanzania Inakabana Koo Na Morocco Huku Kenya Ikivaa Madagasca...
18/08/2025

Mtoto Akililia Wembe Mpe .

Kwenye Robo Fainali Ya CHAN2024 Tanzania Inakabana Koo Na Morocco Huku Kenya Ikivaa Madagascar !

KENYA 1-0 ZAMBIA Kongole Kenya ,Taifa Bora Zaidi Kwa Soka Ukanda Wa AFRIKA MASHARIKI ❤️❤️❤️
17/08/2025

KENYA 1-0 ZAMBIA

Kongole Kenya ,Taifa Bora Zaidi Kwa Soka Ukanda Wa AFRIKA MASHARIKI ❤️❤️❤️

Kamera Zinazotumika Katika Michuano Ya CHAN2024,Na Wahusika Wakuu Wanaoshguhulika Kukuletea Picha Angavu
17/08/2025

Kamera Zinazotumika Katika Michuano Ya CHAN2024,Na Wahusika Wakuu Wanaoshguhulika Kukuletea Picha Angavu

The people behind beautiful video camera shots and crystal audios on our screens during live football production.

Address

Mombasa
00625

Telephone

+254704000104

Website

https://www.youtube.com/@habari254

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Habari 254tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Habari 254tv:

Share