Simulizi Za Jossy

Simulizi Za Jossy Hi! Here I tell stories about people's experiences and Bible stories as well.
(1)

10/06/2026

World Cup 2016 inaanza kesho. Unashabikia time gani? Timu za Afrika ni 9. Nafikiri tuna nafasi ya kushinda, ama wasemaje?

10/06/2026

World Cup 2016 inaanza kesho. Unashabikia time gani? Timu za Afrika ni 9. Nafikiri tuna nafasi ya kushinda, ama wasemaje?

08/06/2026

Polepole ndio mwendo, na kila hatua dua. Kesho yako ni bora zaidi kuliko leo ukiamua!

07/06/2026

Si rahisi 😄.

🎉 I earned the emerging talent badge this week, recognizing me for creating engaging content that sparks an interest amo...
03/06/2026

🎉 I earned the emerging talent badge this week, recognizing me for creating engaging content that sparks an interest among my fans!

Happy Madaraka Day and Happy new month watu wangu. Mungu mbele siku zote hata tunapoomba na kutamani nchi bora kuliko tu...
01/06/2026

Happy Madaraka Day and Happy new month watu wangu. Mungu mbele siku zote hata tunapoomba na kutamani nchi bora kuliko tuliyo nayo sasa.

30/05/2026

Kua Mkenya imekua ngumu sana siku hizi. Habari za kuvunja moyo kila siku! Tumechoka.

23/05/2026

Simulizi yetu leo imuangazia Bw. Peter Mwangangi mwanahabari katika BBC Swahili. Story yake inamtia motisha yeyote ambaye angependa kufuata ndoto zake.

21/05/2026

Mpenzi wa Simulizi Za Jossy ,tumetengana kwa mda mrefu lakini ninashukuru kwa fursa nyingine ya kuungana na wewe. Nimekuandalia mengi, natumai utanipenda ❤️.

28/08/2025

Celebrating my 3rd year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉
@3

Address

Mombasa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simulizi Za Jossy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Simulizi Za Jossy:

Share