
04/04/2025
New characer in NEEMA, anaitwa Amani...
Hapa sasa ndio Jojo will learn the hard way, Eddy atataka sana Jojo awe mpenzi wa Amani but already Jojo anajua mpenzi wake ni Jayden,something that Eddy will not approve...
Anyway, mi chenye kinaniuma sana ni ati Cate atakufa akijifungua ππππππna venye amejaribu sana kubaki uhai na kuhepa babake!