
22/02/2025
๐๐๐๐๐ผ๐๐๐ ๐๐ฟ๐๐๐๐๐๐
๐บ๐ฌEpisode 4
..nilienda kuona ni nn naitiwa.. niliingia kwa ile nyumba ๐๏ธna uoga, ile hata haikuwa nyumba, ilikuwa like statehouse,๐ซฃ boss alikuwa amekaa hapo sitting room kwa kiti..
BOSS: Good morning
ME: Good morning too
BOSS: I hope jana ulifanyiwa orientation ya huko nje na mwenzako, nimekuita hapa ndo nikuambie kazi utakuwa unafanya na rules za kazi pia ndo tuelewane salary๐ฐ
ME: Yeah, naskiza
BOSS: So ww ni wa cleaning, both inside and hapo nje kwa compound kufyeka, kutream maua na kuzipalilia๐ฑ๐ป.. ndani utafanyanga mopping, dusting and wiping, na hautakuwa alone, utasaidia na Sandra,
Niligeuka nikaona Sandra๐ alikuwa amesimama hapo kwa mlango akiwa amenyenyekea.... Sandra aliambiwa aende nje ndo tuelewane salary...
BOSS: Sasa unaona kwa hiyo kazi uwe unalipwa ngapi??
ME: Sincerely sijawahi work anywhere, but according to the work umeniambia 5k haitakuwa mbaya...
Boss aliniangalia akasmile๐. Nilishangaa ananismilia nini na mm nimetoa bei yangu... Nilidhani anaona niko mu'expensive sana๐
BOSS: I understand you, utakuwa starting salary of 10k,
Kuskia ni 10k nilishtuka, yaani kuosha tu na hizo kazi kidogo for 10k a month๐ณ๐ณ๐ณ... Huko home nilikuwa nimezoea kazi ngumu na nalipwa 200 a day, uko nikifanya a month itakuwa 6k a month.... Niliona hapo nitaomoka haraka sana given that I had nobody to take care of....
ME: I really appreciate, I promise to give my best, all that I have to do
BOSS: So rules ni, first no theft, no laziness and no idleness time Kuna kazi haujamaliza.. ukimaliza kazi upumzike no problem. Hii living room hakuna kukaa huku, hope umeona room yako yenye umepewa...
ME: Yeah๐ฒ
BOSS: Kuna tv ๐บscreens nime'order mtawekewa kwa hizo rooms pia muwe mnawatch๐... Hii compound hakuna kutoka nje bila permission yangu..
ME: Thanks sana..
Boss aliita Sandra na kumwambia anionyeshe kazi nitaanza nazo that day.... According to life niliona hapa, niliapa sitawahi jaribu kumess nipoteze hii