NURU MEDIA

NURU MEDIA Get breaking news, entertainment, production and advertisements, coverages and interviews. Follow us.

11/08/2024

Walimu watishia kugoma muhula ukianza...
"Walimu wako tayari kususuia kurudi kazini ikiwa Tume ya Utumishi wa Walimu haitaheshimu awamu ya pili ya Mkataba wa Makubaliano ya 2021-2025, walimu hawatarejelea kazi shule zitakapofunguliwa tarehe 26 Agosti 2024,” Collins Oyuu, Katibu Mkuu wa KNUT.

07/08/2024

Jamaa amefariki kwa kukanyagwa na lori la mchanga katika timbo la Moi, Malindi. Kulingana na wakazi, kijana huyo alikua analidandia lori hilo ndipo alipoteleza na kukanyangwa na gurudumu na kufariki papo hapo.

07/08/2024

Benki kuu ya Kenya yatangaza mabadiliko kwenye noti za shilingi 50,100,200,500,1000

19/07/2024


CS NOMINEES

Interior - Kindiki Kithure
Health - Debra Molongo Barasa
Lands - Alice Wahome
Education - Julius Migosi
Defence - Aden Duale
Agri - Andrew Mwihia
Environment - Soipan Tuya
Water - Eric Muga
Roads - Chirchir Davis
ICT - Mrgaret Ndungu
AG - Rebecca Miano

19/07/2024

JUMMA MUBARAK

17/07/2024



The Communications Authority of Kenya (CA) has cautioned media houses in the country against broadcasting content surrounding the ongoing anti-government protests that it says violates the Constitution.

The warning comes in the wake of the nationwide protests that have resulted in violence, loss of lives, and property destruction, with CA saying the media is mandated with a critical role of maintaining public order and sensitivity.

The CA boss warns that any dissemination of content contrary to relevant legal provisions is unlawful and will result in enforcement actions.

15/07/2024

Bei ya mafuta ya Petroli kupungua kwa Ksh.1 kwa lita, Dizeli kwa Ksh.1.50 kwa lita, na Mafuta ya Taa kwa Ksh.1.30 kwa lita.

Ndio!!! Chaguo la wengi πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ NURU TEAM πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
14/07/2024

Ndio!!! Chaguo la wengi πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
NURU TEAM πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

13/07/2024

Spika Bunge la kitaifa Moses Wetang’ula amepiga marufuku k**ati za bunge kukutana katika hoteli ili kufuata hatua za kupunguza matumizi zilizotangazwa na serikali.

Mshtuko miili tisa ikitolewa ndani ya timbo la kina kirefu mtaani PipelineInahofiwa ni ya watu waliouawa na polisi wakat...
13/07/2024

Mshtuko miili tisa ikitolewa ndani ya timbo la kina kirefu mtaani Pipeline

Inahofiwa ni ya watu waliouawa na polisi wakati wa maandamano Githurai na Rongai

12/07/2024

Japheth Koome ajiuzulu k**a Inspekta Jenerali wa polisi; Rais William Ruto akimteua Douglas Kanja k**a kaimu Inspekta Jenerali.

11/07/2024

Baraza la mawaziri lavunjiliwa mbali huku waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi akiponea shoka hilo.

Address

Mombasa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NURU MEDIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share