The Coastal Magazine

The Coastal Magazine GOSSIP BEYOND THE COAST WE UNITE THE COASTAL ENTERTAINMENT WORLD .
(1)

"NAFIKIRI SIKUIZI GENDER REVEAL IMEKUWAPOINTLESS, SI UNASEMA MWANAO NI KIJANAHADI UNAMUITA NATHAN, AKIFIKA 13YRS OLDANAK...
29/08/2026

"NAFIKIRI SIKUIZI GENDER REVEAL IMEKUWA
POINTLESS, SI UNASEMA MWANAO NI KIJANA
HADI UNAMUITA NATHAN, AKIFIKA 13YRS OLD
ANAKUWA NATASHA!" - KELECHI AFRICANA.
follow COASTAL MAGAZINE

Kenyan Rapper Stoopid Boy Reportedly Dies By S*icide, As News Of His Death Leaves Fans And The Music Industry In Shock. ...
27/08/2026

Kenyan Rapper Stoopid Boy Reportedly Dies By S*icide, As News Of His Death Leaves Fans And The Music Industry In Shock.

follow COASTAL MAGAZINE

HUYU  MC ADEK TATU alikua anazungumzia kabila gani?follow  COASTAL MAGAZINE
26/08/2026

HUYU MC ADEK TATU alikua anazungumzia kabila gani?
follow COASTAL MAGAZINE

26/08/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Lilian Tsembi, Hellen Japhet

Kadago Ndanii wa Malindi amezua maneno mengi mtaani. Alinaswa akitumia muda na Mshangazi kule bangoni. Sasa kila mtu ana...
24/08/2026

Kadago Ndanii wa Malindi amezua maneno mengi mtaani. Alinaswa akitumia muda na Mshangazi kule bangoni. Sasa kila mtu anazungumzia hili tu.

follow COASTAL MAGAZINE

' Nyevuu Fondo Anasema Nafanya Sim 2, Si Yeye Basi Angekuwa Tajiri Manake Ndio Biashara Yake ' - Medallion
20/08/2026

' Nyevuu Fondo Anasema Nafanya Sim 2, Si Yeye Basi Angekuwa Tajiri Manake Ndio Biashara Yake ' - Medallion

Akizungumza katika mkutano wa hadhara Museveni AlisemaUkiangalia Nchi za Ulaya magharibi zimeingia katikamigogoro na vit...
19/08/2026

Akizungumza katika mkutano wa hadhara Museveni Alisema

Ukiangalia Nchi za Ulaya magharibi zimeingia katika
migogoro na vita za kudumu baada ya kufuta ukristo na
kubaki na uislam

"Niliwahi kuwashauri Somalia kwamba wasiruhusu Nchi iongozwe kiislam hata hivyo hawakunielewa kabisa. Nchi zote za mfumo wa kiislamu huishia kumwaga damu za watu wasio na hatia. Nakumbuka hata Gaddafi aliwahi kunipa Kuraan sijawahi kusoma hadi leo kwani sihitaji kuwa muislam . Kwanza Imani yao ni ya ajabu sana wao wanaamini wakimuua mkristo wanapata thawabu kwa MUNGU sasa Imani Gani hiyo"

Aliendelea Kueleza kuwa Nchi nyingi zinazoongozwa Kwa Mifumo ya kiisalam zimekuwa na vita kubwa. Makundi ya waasi yanayoateka watu na kuwauwa mengi ni ya kiisalam.

"Ndio maana sipendelei sana kuwa muislam" Alisema.

Maoni yako ni yapi

coastal Magazine

' Wasanii: Chikuzee na Medallion Sihaba Walivyobadilika Rangi Ghafla, Mashabiki Wabaki na Maswali K**a ni Rangi yao Kwel...
13/08/2026

' Wasanii: Chikuzee na Medallion Sihaba Walivyobadilika Rangi Ghafla, Mashabiki Wabaki na Maswali K**a ni Rangi yao Kweli Au ni Mikorogo ya Nyevuu '

"NATAKA UHUSIANO WA KILA MTU AISHE KWAKE , TUENJOY MDA TUKO WOTE  SIO KULALA NA KUAMKA PAMOJA" .KAREN NYAMU
12/08/2026

"NATAKA UHUSIANO WA KILA MTU AISHE KWAKE , TUENJOY MDA TUKO WOTE SIO KULALA NA KUAMKA PAMOJA" .KAREN NYAMU

"Unajua Otile Brown amekuwa na ugumu tu si kwa Collabo Zangu hata kwa mgao wa  hela pia alipiga simu kwa Distributor was...
13/07/2026

"Unajua Otile Brown amekuwa na ugumu tu si kwa Collabo Zangu hata kwa mgao wa hela pia alipiga simu kwa Distributor wasitishe kunitumia hela zangu, nkampigia manager wake na kumuuliza lakini hakunipa maelezo ya kueleweka." Alisikika akilalamika Mwanamuziki Jovial kwenye mahojiano na Alex Mwakideu .

Address

Mombasa
80100

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Coastal Magazine posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share