Tafta pesa kujua Taarifa za watu ni Umasikini Tuuh.
21/06/2026
HABAR ZENU HAPA NDANI HUYU KIJANA ANAITWA RAMA KENGA KUTOKA KALOLENI GIRIAMA JUZI ALIPATA AJALI YA KUANGUKA MNAZINI AKIWA KWENYE HALI YA KUJITAFTIA RIZIKI .....KWA SASA YUKO MAKADARA MAOMBI YENU..PIA KUNA GROUP LA WHATSAPP LINA ENDELEA K**A UNGEPENDA KUSHIRIKI NASI AU KUTOA KITU YOYOTE:::MPESA 0704582439 JUMA LALO.
mwenye moyo wa mbazi tuokoe maisha ya huyu kijana....
picha zake za ct scanning na xray zipo hapo chini. msada wako ni mhimu Asnte
Be the first to know and let us send you an email when Ramz juma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.