21/10/2025
🌴Mambo vip Mafans...hope mko poa kabisa💪💯
Waliokuwa Nasi last weekend...hope mlijionea na mkasikia Sound ~Roxyz🔥
SOUND CLEARNESS
KIBUYU YA UHAKIKA
SITA SUGU🔥💪
Mlikubali Huduma..🙏💯
Kila kitu Tushaeka Sawa....Unakaa Mkao ..Unaleta Bet yako na Mapema
#25/10/2025 ..SATURDAY Tupatane JUNJU..Black Saturday
Mnipatie Kazi ya Friday..✍️✍️💯
~ROXYZ 001🔥🔥