Al Shifaa Digital Kenya

Al Shifaa Digital Kenya News/ Media company

Joshua Oyoo wa Fayaz Bakers ametawazwa kuwa Mfungaji Bora wa SISI NI DOLA CUP 2026 baada ya kufunga mabao matano katika ...
14/08/2026

Joshua Oyoo wa Fayaz Bakers ametawazwa kuwa Mfungaji Bora wa SISI NI DOLA CUP 2026 baada ya kufunga mabao matano katika michuano hiyo.

14/08/2026

Goli la kibabe la Mohammed Juma⚽️ Dakika ya 50 kwenye Fainali ya Sisi Dola cup

14/08/2026

Goli liloondolewa

14/08/2026

Goli lake Lawrence Dady dakika ya 25 kwenye fainali za Sisi ni Dola

ALSHIFAA MEDIA FC MABINGWA WA SISI NI DOLA CUP 2026Timu ya Al Shifaa Media FC imetawazwa kuwa mabingwa wa Makala ya Pili...
14/08/2026

ALSHIFAA MEDIA FC MABINGWA WA SISI NI DOLA CUP 2026
Timu ya Al Shifaa Media FC imetawazwa kuwa mabingwa wa Makala ya Pili ya Sisi ni Dola Cup baada ya kuichapa Green Eagle 2-1 katika fainali iliyopigwa kwenye uwanja wa Mombasa Sports Club mapema leo.
Mabao ya Lawrence Dady dakika ya 25 na Mohamed Juma dakika ya 50 yaliipa Al Shifaa Media FC ushindi.
Green Eagle ilipata bao lake pekee kupitia mkwaju wa penalti uliopigwa na Swaleh Yanga dakika ya 75.
Ushindi huo umeifanya Al Shifaa Media FC kutwaa ubingwa wa Sisi ni Dola Cup katika msimu wake wa pili

πŸ† **CHAMPIONS! πŸ†**Congratulations to **Al Shifaa Media Kenya** for emerging victorious in the **Sisi Ni Dola Tournament ...
14/08/2026

πŸ† **CHAMPIONS! πŸ†**

Congratulations to **Al Shifaa Media Kenya** for emerging victorious in the **Sisi Ni Dola Tournament 2026 – 2nd Edition!** πŸ₯‡βš½πŸŽ‰

What an incredible display of **teamwork, determination, discipline and fighting spirit**! πŸ’ͺπŸ”₯

This victory is a testament to the hard work and commitment of our players, technical team, management and supporters. You have made the **Al Shifaa family proud!** β€οΈπŸ’š

**Champions today, champions always! πŸ†**

Congratulations, **Al Shifaa Media FC!** 🎊⚽

πŸ“’ **CALL FOR YOUR SUPPORT! πŸ†**We are proud to announce that **Al Shifaa Media Kenya** has been nominated for the **Media...
14/08/2026

πŸ“’ **CALL FOR YOUR SUPPORT! πŸ†**

We are proud to announce that **Al Shifaa Media Kenya** has been nominated for the **Media Innovator Awards 2026**! πŸŽ‰

This recognition celebrates media organizations making a difference through **innovation, digital journalism, broadcasting, community engagement, and impactful storytelling**.

We kindly urge every member to take a moment to **nominate Al Shifaa Media Kenya** and help us earn this important recognition. πŸ™

Your nomination is more than just a vote β€” it is a show of **support for our work, our team, and the vision of building a stronger, innovative African media industry.**

Please follow the instructions below while filling the voting form;

A. **Nomination Type**

1. Select This Option - (" Third-Party Nomination (I want to nominate another person or company")

B. **Your Details**(Enter the following)

1. Your Full Names.
2. Your Email Address
3. Relationship to Nominee- (Indicate Partner)
4. Happy to Share Details (Select 'Yes')

C **Nominee Details**

1. Company/Individual - Al Shifaa Media Kenya.
2. Contact Email - [email protected].
3. First Name - Mwalimu
4. Surname - Mwaguzo
5. Country - Kenya
6. Region - Mombasa
7. Industry - Media & Communications.
8. Website - https://www.alshifaamedia.co.ke/

D. **Nomination Details**

1. Reason for Nomination (Optional)
2. Suggested Award Title (Optional)

E. **Verification**

1. Just tick the confirmation box, perform the recaptcha and finally submit your vote!!!

Please share this message with your friends, colleagues, and networks, and encourage them to nominate us too.

**Together, let's put Al Shifaa Media Kenya on the map! πŸ‡°πŸ‡ͺ❀️**

Thank you for your continued support.
**Al Shifaa Media Kenya β€” Inform. Inspire. Empower.**

Voter Nomination Link: https://www.corporatevision-news.com/awards/media-innovator-awards/

AZZAM UNITED KUTOKA KWALE WATIA BINDONI LAKI MBILI NA ELFU HAMSINI BAADA YA KUICHARAZA NYUNDO FC BAO  2-1 KATIKA MICHUON...
14/08/2026

AZZAM UNITED KUTOKA KWALE WATIA BINDONI LAKI MBILI NA ELFU HAMSINI BAADA YA KUICHARAZA NYUNDO FC BAO 2-1 KATIKA MICHUONO YA SISI NI DOLA KATIKA HARAKATI ZA KUTAFUTA MSHINDI WA TATU YA MICHUONO HIYO.SIKU YA KESHO ALSHIFAA MEDIA FC WATATOANA KIJASHO NA GREEN EAGLE KATIKA FAINALI AMBAPO MSHINDI ATAENDA NYUMBANI NA MILLIONI 1.

Mkurugenzi wa michezo kutoka dola group hassan kipapa amewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi katika uga wa Mombasa sport huku akiwaomba kuwa watulivu wakati wa mchezo

Nicolas Jackson is open to staying at Chelsea and fighting for his place under Xabi Alonso. Despite interest from Aston ...
13/08/2026

Nicolas Jackson is open to staying at Chelsea and fighting for his place under Xabi Alonso. Despite interest from Aston Villa and a top Spanish club, the Senegal striker currently prefers to remain at Stamford Bridge and prove himself.
His future will depend on Chelsea’s decision and the role they offer him.
ℹ️ TheSunFootball

12/08/2026

ARSENAL YAVUTIWA NA JULES KOUNDE

Address

Mikindani Streets
Mombasa
80100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Al Shifaa Digital Kenya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share