11/11/2025
Watu wengi walidhani AKON ni bilionea hadi ukweli ulipobainika kortini ๐ญ. Mwaka huu mke wake aliomba talaka baada ya miaka 21 ya ndoa, akidhani atatoka akiwa tajiri zaidiโฆ kumbe mambo ni tofauti!
Korti ilipofungua faili, ilibainika kwamba Akon alikuwa na $10,000 tu kwenye account ๐ณ โ na pia alikuwa na madeni, hana mali, hana nyumba wala gari kubwa.
Wakati huo mke wake ndiye alikuwa na $2 million, pesa alizojikusanyia mwenyewe.
Lakini kwa mujibu wa sheria, mali inagawanywa nusu kwa nusu.
Korti ikasema mke wa Akon lazima ampe nusu ya hiyo $2 million.
Lakini Akon akasema hapana ๐
๐ฝโโ๏ธ โ โwacha abaki nayo, ni mama wa watoto wangu, sina kinyongo.โ
Watu wengi wamebaki wakimuita mwanaume halisi mwenye roho safi โค๏ธ.
๐ Funzo kubwa kwa wanaume:
Usiishi ndoa ukiweka pesa juu ya utu. Mwanaume wa kweli si yule mwenye milioni, ni yule mwenye moyo safi na heshima kwa familia yake. Akon ametuonyesha kuwa wanaume bado wapo โ wale wanaochagua utu kuliko pesa. ๐ช
Wewe unadhani, k**a ingekuwa wewe, ungemwachia hizo $2 million au ungechukua haki yako ya kisheria? ๐๐
๐ Follow ๐ Dj Sk Vybz kwa story zaidi kali k**a hizi za mastaa na maisha yao nyuma ya pazia. ๐ฅ