
24/01/2025
"Greetings to you !๐ I humbly ask you to Join me this Saturday, 25th January, on Sifa FM from 7 PM to 8 PM. Itโs going to be an exciting session filled with meaningful conversations and uplifting moments. Donโt miss outโsee you on air!"
Kesho ndani ya kipindi cha JAMVI LA VIJANA mgeni wetu kwenye Talent Hour sio mwingine bali ni MC Sonnia . MC Sonnia International ameshinda tuzo kadhaa kutokana na kipaji chake cha Kipekee katika sanaa ya KU-MC .Usikose kufwatilia mahojiano hayo mbashara akiwa na Albert M Mwanyasi hapo kesho.
Unaweza pia kufwatilia kupitia wavuti wetu https://twr.co.ke/sifa-fm-voi/