M N B LENS

M N B LENS We break down politics, sports, and social issues with sharp insights and real conversations.
(1)

From the latest headlines to the stories shaping our society, this is your space for bold, fresh, and thought-provoking talk yani "REAL TALK BILA FILTER."

Good morning: Baadhi ya taarifa kuu kwenye magazeti hapa nchini.
08/10/2025

Good morning: Baadhi ya taarifa kuu kwenye magazeti hapa nchini.


Antoine Semenyo:"Mimi ni shabiki wa Arsenal, lakini sipati wakati mgumu kucheza dhidi yao, ni kazi yangu.""Kuhamia klabu...
07/10/2025

Antoine Semenyo:

"Mimi ni shabiki wa Arsenal, lakini sipati wakati mgumu kucheza dhidi yao, ni kazi yangu."

"Kuhamia klabu k**a Arsenal itakuwa ndoto yangu imetimia."

"Nimewaangalia sana kwenye maisha yangu yote"


Waliimba akisema atakubariki hakuna atakayezuwia. Sasa Kipa wa Arsenal David Raya hakuna wa kuzuwia neema na baraka zake...
07/10/2025

Waliimba akisema atakubariki hakuna atakayezuwia. Sasa Kipa wa Arsenal David Raya hakuna wa kuzuwia neema na baraka zake kwani baada ya kupewa taarifa kuwa yeye ni baba kijacho, Arsenal pia imemuongeza mshahara.

Wapi maua yake!


Beki Jordi Alba ametangaza kustaafu soka mwisho wa msimu wa ligi ya Marekani MSL.Ni maamuzi ambayo pia yalifanywa na kiu...
07/10/2025

Beki Jordi Alba ametangaza kustaafu soka mwisho wa msimu wa ligi ya Marekani MSL.

Ni maamuzi ambayo pia yalifanywa na kiungo stadi raia mwenzake wa Uhispania Sergio Busquiet.


Zoezi la kutafuta makurutu wa jeshi kuendeshwa huu mwezi.Kaa chonjo upate kibarua cha kulinda mipaka ya nchi tukufu ya K...
07/10/2025

Zoezi la kutafuta makurutu wa jeshi kuendeshwa huu mwezi.

Kaa chonjo upate kibarua cha kulinda mipaka ya nchi tukufu ya Kenya.


07/10/2025

Kipa hodari wa Arsenal ameivuruga safu ya ulinzi ya mpenzi wake na anatarajiwa kupata mtoto.

Badala ya kudaka amedakisha!


Ukosefu wa umeme maeneo ya mashinani eneo bunge la Malindi umechangiwa na uhaba wa fedha kutoka shirika la REREC.Mbunge ...
05/10/2025

Ukosefu wa umeme maeneo ya mashinani eneo bunge la Malindi umechangiwa na uhaba wa fedha kutoka shirika la REREC.

Mbunge Amina Laura Mnyazi amedai milioni 25 zinazotengewa kila eneo bunge ni kidogo mno kutosheleza mahitaji ya kusambaza umeme mashinani.

Mnyazi ametaka hela hiyo kuongezwa.


Estêvão ndiye kinda mchanga zaidi kufunga goli la ligi pale Chelsea, rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Callum Hudson-Odoi...
05/10/2025

Estêvão ndiye kinda mchanga zaidi kufunga goli la ligi pale Chelsea, rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Callum Hudson-Odoi.

Mpe maua yake.


Kupigwa na Sunderland wikendi sio tiketi ya kuondoka kwa Ruben Amorim.Sir Jim Ratcliffe amesema analenga kumpa msimu mzi...
03/10/2025

Kupigwa na Sunderland wikendi sio tiketi ya kuondoka kwa Ruben Amorim.

Sir Jim Ratcliffe amesema analenga kumpa msimu mzima mreno huyo.


Mbunge Hon. Kenneth Charo Kazungu Tungule - MP Ganze Constituency na wenzake Paul Katana, Ken Chonga, Kenga Mupe, Amina ...
03/10/2025

Mbunge Hon. Kenneth Charo Kazungu Tungule - MP Ganze Constituency na wenzake Paul Katana, Ken Chonga, Kenga Mupe, Amina Mnyazi na mama kaunti Getrude Mbeyu, watawakaribisha naibu rais Kithure Kindiki, spika wa la seneti Amason Kingi na naibu kiongozi wa wengi bunge la kitaifa Owen Baya katika eneo bunge la Ganze.

Viongozi hao wataongoza mkutano wa kuwawezesha kiuchumi kina mama wa Ganze.


Chama cha UGMP(United Green Movement Party) kimemzundua aliyekuwa rais wa idara ya mahak**a David Maraga kuwa mgombea ur...
02/10/2025

Chama cha UGMP(United Green Movement Party) kimemzundua aliyekuwa rais wa idara ya mahak**a David Maraga kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho.

Ataonana kweli?


Address

Mombasa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when M N B LENS posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category