OMAX PRO TV.

OMAX PRO TV. HEAR TO TEACH QURAAN,DUAH AND ISLAMIC TEACHINGS. For any source of rectify please don't hesitate come to my inbox am ready to hearken as well as adjusted.

I love you all for the sake of Allah"

Maasalaam!

Kutoka kwa Abu Hurayrahرضي الله عنه kwamba Mtume صلى الله عليه وسلم amesema: ((Allaah Alipoumba Pepo na moto, Alimtuma J...
04/09/2026

Kutoka kwa Abu Hurayrahرضي الله عنه kwamba Mtume صلى الله عليه وسلم amesema: ((Allaah Alipoumba Pepo na moto, Alimtuma Jibriyl Peponi Akimwambia: Iangalie na angalia matayarisho Nliyoyatayarisha kwa ajili ya wakaazi wake. Akasema (Mtume صلى الله عليه وسلم) Kwa hivyo alikuja kuiangalia na kuangalia matayarisho Allaah Aliyofanya kwa ajili ya wakaazi wake. Akasema: Akarejea kwa Allaah na kusema: Kwa Utukufu Wako, hakuna atakayesikia (habari yake) ila tu ataingia (Peponi). Kisha Akaamrisha izungushwe (ihusishwe) mambo magumu watu wasiyoyapenda, Akasema: Rejea na angalia yale Niliyoyatayarisha kwa ajili ya wakaazi wake. Akasema: Kisha akarejea na akakuta imezungukwa na mambo magumu watu wasiyoyapenda. Hapo alirejea kwa Allaah na akasema: Kwa utukufu Wako, nina khofu hakuna hata mtu mmoja atakayeingia. Akasema: Nenda motoni ukauangalie na uangalie matayarisho Yangu kwa ajili ya wakaazi wake. Akaona ulikuwa na matabaka moja juu ya tabaka jengine. Akarejea kwa Allaah na akamuambia: Kwa Utukufu Wako hakuna hata mmoja ausikiae (sifa zake) atakayeingia. Kisha Allaah Aliamrisha Uhusishwe na shahawa (matamanio ya nafsi). Kisha Allaah Akamuambia: Rejea tena (motoni). Alirejea tena na akasema: Kwa Utukufu, wako nakhofia kuwa hapatakuwa na yeyote atakayenusurika nao)) [At-Tirmidhiy akasema ni Hadiyth hasan, na Abu Daawuud na An-Nasaaiy]

From Abu Hurayrah (may Allah be pleased with him) who said that the Messenger of Allah (blessings and peace of Allah be ...
04/09/2026

From Abu Hurayrah (may Allah be pleased with him) who said that the Messenger of Allah (blessings and peace of Allah be upon him) said: ((Allah said: ((I have prepared for My righteous servants that which no eye has seen, no ear has heard, and no heart has conceived)) Abu Hurayrah said: So recite if you wish: ((No soul knows what is hidden in Paradise of the delights of the eyes))) [As-Sajdah: 32:17] [Al-Bukhaariy, Muslim, At-Tirmidhiy and Ibn Majah]

Imetoka kwa Abu Hurayrah, may God be pleased with himPeace and blessings be upon him. kwamba Mtumeamesema: ((Allaah سبحا...
04/09/2026

Imetoka kwa Abu Hurayrah, may God be pleased with himPeace and blessings be upon him. kwamba Mtumeamesema: ((Allaah سبحان وتعالى Huteremka(in a manner befitting His glory) every day in the lowest heaven (the first heaven) when the last third of the night remains and He says: Who supplicates to Me that I may accept it? Who has a difficulty that I may fulfill? Who asks for My forgiveness that I may forgive him?)) [Al-Bukhaariy, Muslim]

From Anas (may Allah be pleased with him) whosaid: I heard the Messenger of Allah (peace and blessings of Allah be upon ...
04/09/2026

From Anas (may Allah be pleased with him) whosaid: I heard the Messenger of Allah (peace and blessings of Allah be upon him)Blessed and Exalted is Allah, and peace be upon him.He said: O son of Adam, if you ask Me and put your trust in Me, then I will forgive you your sins and I will not care. O son of Adam, if your sins were to reach the clouds of the sky and you asked Me for forgiveness, I would forgive you. O son of Adam, if you were to come to Me with sins as great as the world and you faced Me without associating partners with Me, I would forgive you.)) [At-Tirmidhi and Ahmad]

Kutoka kwa Abu Hurayrahرضي الله عنه ambaye amesema kwamba mambo aliyohadithia Mtume صلى الله عليه وسلم kutoka kwa Allaah...
04/09/2026

Kutoka kwa Abu Hurayrahرضي الله عنه ambaye amesema kwamba mambo aliyohadithia Mtume صلى الله عليه وسلم kutoka kwa Allaah عَزَّ وَجَلَّ ni kuwa Alisema: ((Mja wa Allaah alifanya maasi na akasema: Ewe Mola, nisamehe dhambi zangu. Na yeye Allaah تَبَارَكَ وَتَعَالَى Akasema: Mja wangu kafanya dhambi kisha kajua kwamba anaye Mola Ambaye Anasemehe madhambi na Anayeadhibu kwa kufanya dhambi. Kisha akarudi tena kufanya dhambi akasema: Ewe Mola, nisamehe dhambi zangu. Na Allaah تَبَارَكَ وَتَعَالَى Akasema: Mja wangu amefanya dhambi kisha kajua kwamba anaye Mola Ambaye Anasamehe dhambi na Anayeadhibu kwa kufanya dhambi. Kisha akarudia tena dhambi na akasema: Ee Mola, nisamehe dhambi zangu. Akasema تَبَارَكَ وَتَعَالَى: Mja wangu kafanya dhambi kisha akajua kwamba anaye Mola Anayesamehe dhambi na Anayeadhibu kwa kufanya dhambi. Fanya utakavyo, kwani Nimekusamehe)) [Al-Bukhaariy na Muslim]

02/09/2026

Best Dua

SKutoka kwa Abu Hurayrahرضي الله عنه kutoka kwa Mtume صلى الله عليه وسلم kwamba amesema: ((Mtu alifanya maasi makubwa na...
02/09/2026

SKutoka kwa Abu Hurayrahرضي الله عنه kutoka kwa Mtume صلى الله عليه وسلم kwamba amesema: ((Mtu alifanya maasi makubwa na wakati mauti yalipomfikia aliwausia wanawe akiwaambia: Nitapokufa, nichomeni, munisage na mulitawanye jivu langu baharini kwani, WaLLaahi, Allaah Atakaponipata, Ataniadhibu adhabu ambayo hajapata kuadhibiwa mtu mwingine. (Wanawe) walifanya walivyousiwa. Kisha (Mola) Aliiambia ardhi: Toa kile ulichokichukua. Hapo tena akazuka! Na (Mola) akamuambia: Kitu gani kilichokufanya ufanye hayo uliyofanya? (Yule mtu) akasema: Ni kukuogopa Wewe Ee Mola wangu (au alisema: Ni kukukhofu wewe) na kwa sababu hiyo Mola Alimsamehe)) [Al-Bukhaariy, Muslim, An-Nasaaiy na Ibn Maajah]

From Abu Hurayrah (may Allah be pleased with him) who said that the Messenger of Allah (peace and blessings of Allah be ...
02/09/2026

From Abu Hurayrah (may Allah be pleased with him) who said that the Messenger of Allah (peace and blessings of Allah be upon him) said: “Allah, the Most High, said: ‘If My servant loves to meet Me, I love to meet him; and if he dislikes to meet Me, I dislike to meet him.’” [Al-Bukhaari and Malik]

From Abu Hurayrah (may Allah be pleased with him) who said: The Messenger of Allah (peace and blessings of Allah be upon...
02/09/2026

From Abu Hurayrah (may Allah be pleased with him) who said: The Messenger of Allah (peace and blessings of Allah be upon him) said: ((Allah the Exalted says: It will not be the reward of My believing servant, when I take for him the best of the people of the world and he is patient for My sake, except Paradise)) [Al-Bukhari]

From Jundub bin Abdillaah (may Allah be pleased with him) who said: The Messenger of Allah (peace and blessings of Allah...
02/09/2026

From Jundub bin Abdillaah (may Allah be pleased with him) who said: The Messenger of Allah (peace and blessings of Allah be upon him) said: “Among those who preceded you was a man who was wounded. He was in great pain so he took a knife and cut himself in his hand, the blood did not stop flowing until he died. Allah, the Exalted, said: My servant has sacrificed his life for Me; I have forbidden him the Garden.” [Al-Bukhaari]

Address

LIKONI
Mombasa
80110

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when OMAX PRO TV. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share