20/08/2025
Nilienda na beshte yangu kwake akanipea drink, nliamka nilijipata naskia uchungu,na kando yake nikaona ARIMIS🥹🥹
"huyu mzee tulienda kwake after masaa zimeisha hivivi,akapika infact alipika nyama ugali na alikuwa anaisha pekee yake tu. sasa mimi nikajua ni masaa ya kulala kwanza mimi nlishtuka kuona ni pombe kwa mtu wa church lakini alinishow aty kuna watu wanakunjwa lakini si yeye, lakini kulikuwa na soda akanipea juu mimi situmii pombe, lakini sijiu ni nini aliweka kwa pombe nikawa unconscious. Wakati tumelala hivi mimi sijielewi,mimi wakati nimejielewa nlipata sina nguo, kumuuliza ni nini mbaya kuangalia kando nliona arimis"