
13/12/2024
Sijui K**a ushawai fall in love ile haswaa..๐๐yaani unampenda mtu hadi akikupigia simu ile sauti ilivyo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu๐๐Akikuita tu๐๐ "my love"unajiskia tu kuvua ๐ฝ๐ฉฑ mwenywe.๐ฅฐ๐ฅฐhuo upendo ukiwa nae unajiskia unaweza piga wanawake/wanaume 8 kwa pamoja๐ฅ๐ฅ๐ฅYaani ile love mtashinda pamoja siku nzima. usiku unakopa mkopo muongee๐๐Yaani yale mapenzi kiasi ukiona love story za romeo na Juliet unaona hakuna wanachofanya coz mapenzi yao hayafikii yenu..โฃ๏ธโฃ๏ธโฃ๏ธile true love akikuangalia machoni akuguse mashavu alafu akwambie,"I love u"๐๐ฅ๐ฅUnajishikilia kwenye ukuta usizimie..๐๐
yaani ukimfikiria unaweza kulala chini ya kitanda Ku- dilute hiyo feeling coz ni too much..๐๐
Umewahi kufeel hivyo??๐ฅฐ๐ฅฐ
K**a ushawai experience hivyo?? Basi HIYO SIYO "LOVE" HIYO NI "BHANGI" ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃPLZ ACHA KUTUMIA BHNGI!๐๐
content