Shunil carey

Shunil carey Am A Cosmetologist
700k followers,shall we? Thank you
07.95.08.76.19
(6)

Wale tuna watch rhema feast at the comfort of our home mikono juuu,nasikia  kuzitoka mbiooo Hadi uhuru park juu kameshik...
05/09/2025

Wale tuna watch rhema feast at the comfort of our home mikono juuu,nasikia kuzitoka mbiooo Hadi uhuru park juu kameshika huko mbayaaa🤣🤣🤣

Nimeuliza wanaume how they know that a woman is a wife material lakini sijapenda majibu zao🤣🤣🤣🤣ebu ladies kujeni hapa ,s...
05/09/2025

Nimeuliza wanaume how they know that a woman is a wife material lakini sijapenda majibu zao🤣🤣🤣🤣ebu ladies kujeni hapa ,so as a lady,how do u know that a man is a husband material?ebu leteni hizo majibu wanaume wasikie🤣🤣🤣🤣men kujeni u take notes

Oya wanaume kujeni kipande hii,in a world full of beautiful women all around,huwa mna_select aje  mwanamke wa kuishi nay...
05/09/2025

Oya wanaume kujeni kipande hii,in a world full of beautiful women all around,huwa mna_select aje mwanamke wa kuishi naye?cz am a lady na nikiwa kwa hizo streets mi huona tu madem warembo,sikuhizi kila Dem ni mrembo!alaf pia madem sai wanajituma kujituma,k**a Mimi ni Dem na Huwa nachanganyikiwa hivi🤣🤣😛😛😛like madem wameiva kuiva huku nje,ebu tuambieni how you choose Dem wa kuishi naye?how do u know she is the one😛, ladies kujeni tu take notes ,

Hello shunil..Mimi kuna spirit inanisumbua sana na hata nimechoka...nimefanya maombi ya kufunga,nimekesha  na kuomba,nim...
05/09/2025

Hello shunil..Mimi kuna spirit inanisumbua sana na hata nimechoka...nimefanya maombi ya kufunga,nimekesha na kuomba,nimekemea lakini bado haijaisha sasa nimefika to a point that sasa hata sijui niambie nani...nimeomba na pastors nimeenda kanisani but nothing is changing my dear sister.

Though huwa wanasema maombi bila sacrifice can't work but honestly nimechoka...so iko hivi mm nikilala usiku kuna mtu huwa anakuja anafanya mapenzi na mimi kwa ndoto(spiritual husband)na huwa anakuja sura ya watu najua but different people ata some times watakuja wasichana but wote nawajua na ni marafiki zangu....sometimes atakuja mtu sijui afiche sura yake na amalize kazi yake...this thing is affecting my life and I feel low mpaka inabidi usiku nakesha tu mpaka asubui juu naogopa anytime I fall asleep wanakuja....so kuna huyu mwanaume nilikuwa na yeye and we had planned future together akawa hata amenipromise tutakuwa pamoja forever but alininyamazia tu hatuongei for almost 8 months now so huyo jamaa ndio huwa anakuja most of the times anafanya mapenzi na mm anafuraia na mm pia nafuraia though huwa wanakuja watu tofauti but ile siku ameamua ni yeye huwa anakuja yeye...
.Sasa nimwongeleshe nimwambie what is happening ama ninyamaze ?and mbona anakuja kwa ndoto k**a spiritual husband na aniongeleshi?ama kuna kitu alinifanyia?please I need advices on what to do coz nimechoka na hii kitu juu hata nashindwa kuambia even my family members including my mother....nimeomba,nimefunga,nimekesha ata naona no need to pray coz k**a naeza omba 2hrs before I sleep alafu nikijiekelea tu pepo anakuja sasa kweli mungu anasikia maombi yangu...thank youNimefanya hadi cleansing with the help of women and friends..
nimeenda mpaka mama kienyeji na bado tu,imamaliza two weeks ama some days tena inajurudia.....in a week I can experience two times,I have cried to God to deliver me from this spirit...even as I was typing bado nilikuwa nalia tu..what can I do.

Guys I received this message from a fan here and honestly I don't know what to say,can someone help her please?

05/09/2025

🤣🤣🤣I love this pastor

04/09/2025

Eheee🤣🤣🤣 wanaume najua mtapenda hiii

04/09/2025

Ready to receive your orders, kindly call me via 07.95.087.619 or you can come to my work place ,am based in Nairobi along kagundo road around kayole junction, welcome @

News reaching my desk,is that the famous Gogo from Rwanda is no more😥💔,u all remember her song that went viral?(everyday...
04/09/2025

News reaching my desk,is that the famous Gogo from Rwanda is no more😥💔,u all remember her song that went viral?(everyday I need blood of Jesus),poor girl,ndio kaanza tu kuwa famous akaenda hivo jamani,ila mwenyezi mungu ana sababu zake,may she rip

How old were you when u become a mom/dad? Do u regret? Did your partner support you?how has the experience been?as for m...
04/09/2025

How old were you when u become a mom/dad? Do u regret? Did your partner support you?how has the experience been?as for me I become a mother at the age of 20 immediately after college,it was tough but we managed through the grace of God, imagine being young and jobless!but honestly I don't have any regrets!my boy is 6 And will be turning 7 in a few, everytime I look at him I always feel happy and encouraged,

He is the reason I work so hard and smart,because I want him to live a better life,nimeonja umaskini and I can tell you poverty is bad!sitaki kurudi huko,to young men and women in the house I just want to encourage you today,

Don't regret,Wacha huyo mtoto awe wa Baraka kwako,just keep trying,one day God atafungua njia,usichukie mtoi hata k**a your partner amekutoka!mayb God has great plans for you!just keep trying and see that kid or those kids as a blessing,I love you and I wish you well....

Share your experience with us,you might encourage someone

04/09/2025

Kuiba si solution jamani,how can we help this gets jamani?is there something that can be done?

03/09/2025

🤣🤣🤣🤣🤣🤣usicheke sana usahau Kuni bless na hiyo like na share🙏🙏🙏🙏

Hello my dear  I need advice  pls, nimekuwa hukufanya kazi ya hao tangu January, nimeacha may, sababu y mambo y watoto w...
03/09/2025

Hello my dear I need advice pls, nimekuwa hukufanya kazi ya hao tangu January, nimeacha may, sababu y mambo y watoto wa boss mara aunty ww si mzuri nikaamua kuacha job, nikasema nitafute job y salon atleast iniletee schoolfees y mtoi wangu ako grade5 , hivo kuna cousin yangu kibira nikamwelezea niko stranded na nataka anisaidie akakubali ananiambia cuzo kuja utulie hapa kwangu nikitafuta kazi y salon hutakosa , for really nilienda kwa cuzo nikaa ata sikumaliza 1week

, nilikuwa na matanga hom western akaenda akaniacha na watoi wake na kumbuka n dem wakubwa mwenye alimaliza4th na wa fom2 grade9 then watoto watatu na alituaacha na baba yao, after yy ashaenda matanga amemaliza 3days watoi wakaanza kuninyima food na sa kuna mahali msichana yake mkubwa alinipelekanga kueenda kufua kwa jamaa kumbe huyo jama alikuwanga amenicrushia , so ikafika tym hao watoto wa cousin yangu wakanieekea maneno eti mm nimesema wanalalanga na baba yao kimwili😥😥😥adi wakaambia baba yao

, naye baba akapigia cousin yangu ilihali haniulizii mm mwenyewe sasa watoi wakaanze kunitusi waliniambia baba yao amesema asirudi jioni anipate apo mm nikasema nitiktoka k**a cousin yangu hajarudi watasema n mm niko na makosa nilikaa nikangoja akarudi akanifukuza tena ju alijuwa n ukweli which sio hivo mm nikapack kidogo kidogo huyo jama alikuwa amenicrushia akanical ju nilikuwa nimemsho nitaenda kwa mtu wa hom nikae naye , kumbe huyo jamaa alienda kwa pastor kumwambia amepata bb ju bb yake alikufa na akamuacha na mtoi mmoja na alikuwa ameambua pastor amuombee apate bb bahati mzuri nikapatikana jamaa aliniita kwa pastor nikaenda pastor akatuunganisha,

vile naongea sai niko kwenye hio ndoa ila ni majaribu n 3month now tunaenda y 4 lakin nalala kwa kiti jama wanalala na mtoi wake kwa kitanda sababu n mattress n one bb yake alikufia so alinipromise akinioa atabuy matress kwa wiki ya kwanza until now ilifikanga mahali mtoi 9yr anakohoa bed nitoe nifue sikuona shida ikifika tym jama akabadilika sai sasa anashinda amekufa hao sometimes anatoka hakuaachii lunch na alinipromise atasomesha mtoi wangu as anashugulikia mtoto wake pekee na aliniambia kwa macho hasaidii mtoto wangu ningoje afikirie akiacha lunch n tym mtoi ako hom bt hizi day as shule hakuna kuaachiwa chakula nata ushauri kwa fans wako plz nisaidie(I received this from a fan here,let's help her)

Address

Kagundo Road
Nairobi West
00100

Telephone

+254795087619

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shunil carey posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Shunil carey:

Share