AYANA Updates

AYANA Updates AYANA 󱒏
(1)

  Mambo ya ASHA ni magumu Alaumiwe Nani ?
18/12/2025


Mambo ya ASHA ni magumu
Alaumiwe Nani ?

π€π˜π€ππ€ πŸπŸ–π“π‡ 𝐃𝐄𝐂 π’π„πŸŽπŸ’ π„ππŸŽπŸ-𝟐 π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 Saida alijua mara moja,ni Tinah amedelete hiyo number and she has it. S...
17/12/2025

π€π˜π€ππ€ πŸπŸ–π“π‡ 𝐃𝐄𝐂 π’π„πŸŽπŸ’ π„ππŸŽπŸ-𝟐 π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Saida alijua mara moja,ni Tinah amedelete hiyo number and she has it. Saida ni umeme alikuja kwa room ya Tinah na hataki ujinga,akamwambia nataka hiyo number umetoa kwa simu ya Beka na ukadelete. Tinah akamwambia mimi sina number lakini Saida alimwambia nitakugonga wewe by the time unanipea number utakua umeona moto.

Walianza kubishana hapo,Beka akaona ati sasa awakataze lakini Tinah na Saida kwa pamoja wakamwambia "shut up,." πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Beka akajifunza kunyamaza. Punde si punde, Tyrone akafika.

Tyrone alikuja akakalisha kila mtu chini akiwemo Beka akamuuliza, Aisha alisema nini? Beka akasema alisema anajutia kutoka huku na akasema nisalimie mamake. Tyrone akauliza Saida na wewe mbona unasema Tinah alifuta number? Saida akamwambia huyu Tinah hataki Aisha apatikane na najua alidelete hiyo number. Tina kalieka drama fulani hapo hadi akalia ndio aaminike tu lakini Saida akaambia Tyrone huyu mtoto anajifanya tu ndio umuamini. Ni kweli Tinah kanajifanya tu but ameongea na Asha.

Ray na yeye kufika nyumbani,akidhani kila kitu kiko sawa,hana habari Asha alishapata zile masks...Asha akauliza Ray,hizi ni nini,,mask ni za nini? Ama umeanza kuibia watu? Ray akasema babe mimi hizi vitu sijui si unajua hii keja si yangu,maybe ni za beshte yangu. Asha alimwambia usinione mjinga Bryson....Ray ameruka sana anasema hizi vitu hajui na lazima ni za beshte yake...lakini Asha alikataa πŸ˜‚πŸ˜‚

Asha akauliza k**a ni za beshte yako,so ina maana beshte yako ni jambazi? Ray akasema zii,hizi ni za kuvaa mtu akiendesha pikipiki na beshte yangu hufanya kazi ya pikipiki πŸ˜‚πŸ˜‚Asha in as much as anaambiwa kitu inakaa ukweli,lakini aliambia Ray usijaribu kuniblackmail.

Ray kuona Asha anaenda hivi ajue ukweli,akamwambia basi,k**a ni hivyo mimi na wewe imeisha,ndio usiwe unakaa na mimi...Asha akamwambia basi pole babe, nilikua nauliza tu. Asha alimshika akamlalia akamwambia aki babe nakupenda na nilikua nauliza tu...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

AL na yeye amesubiri Ray akuje ampe cut yake ya pesa aende lakini akatumiwa message akaambiwa jambezi, jitoe sai huku ni kubaya kiasi tutakutana mabaadaye πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Raty alituma ile message akiwa ameidelete mbio sana. K**a ni pesa bado wako nazo na Asha kwa bahati tu hajapata zile pesa.

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Tinah leo kashapika supper and Tyrone can't stop impressive by her daughter. Yani Tinah amekua mzuri hadi babake anamwambia now you are my daughter.

Wakiwa kwa meza, Tyrone akanotice,Saida hayuko,akauliza wee mshaambia Saida kuna dinner? Tinah akadanganya akasema yeah nilimwambia but nik**a hana appetite. Tyrone akaamka kuenda kumuita lakini Sabina akamwambia yoh,k**a hataki kula achana na yeye but Tyrone alimwambia please huwezi elewa its only me who understands. Sabina anasikia vibaya sana kuona Tyrone anamjali Saida.

Wakati Tyrone ameenda,Tinah akaambia mamake aje "unasikia vibaya na venye wewe na Robert mnafinyana behind my dad;s back" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tyrone alikuja akaambia Saida please, twende tukule na nikikuona unakaa hivi inaniumiza sana. Tyrone alimshika Saida akampanguza machozi,akamwambia don't cry,ukilia unaniliza pia mimi. Saida akaambia Tyrone,nilifanya makosa kuleta Asha huku,sai singekua hivi. Saida hajazoea Asha wake kuwa hivi,anashangaa tu What's came over her daughter.

Sabina pia akiwa hapo aliambia Tinah sikiza, najua ulidelete hiyo number kwa simu ya Beka . Tinah akamuuliza so? Sabina akamuuliza mbona ukafanya hivyo? Tinah akamwambia I hate Asha,and she doesn't deserve kuishi huku. Sabina akamwambia good at least mimi na wewe tuko on same side ju pia nataka sana huyo Saida out of this house. Tinah akaambia mamake sikiza, we ain't on same side,ju you only have hadi kesho morning niwe nimepata demands zangu or else dad will know everything.

Huku kwa Chris nakwo,alipigiwa simu kutoka police station akaambiwa tuko na leads za one of the suspect. Jemimah alikua hapo akasikia,akauliza wamesema nini? Chris akamwambia walichukua fingerprints na nik**a wanajua penye one of the suspect ako.

Jemimah kusikia hivyo,akamcall AL lakini makosa ni AL amelala,simu inaitana but haishikwi. Jemimah akamcall Ray lakini kumbe Ray alikua ameenda kununua escort,so ni Asha ndio alishika simu,akaambia Jemimah,Ray hayuko ametoka kiasi.

Lakini kiiiiiiidogo hivi,kabla tu hata Asha hajamaliza kuongea,alishtukia kamlango kamepigwa teke mbaya mbovu. Police washafika.

Asha alishtuka sana kuona police kumbe Ray ndio alikua anakuja akaona police ikabidi amehepa. Makarao wakauliza Asha,pesa mliba ziko wapi? Asha akamwambia mimi sijui kitu mnaongelea lakini karao mwingine akaingia chini ya kitanda akapata pesa so automatically Asha akakua main suspect ju pesa zimepatikana akiwa peke yake.

Asha aliwaambia please hata mnaeza pigia mama yangu lakini wapi,hakoo kakabebwa...Asha akiingia kwa gari alichungulia akamuona Ray,akajua tu walai nilijua tu wewe ni gaidi. wah! Makosa sana.

Report ikafikia Chris akaambiwa washashika msichana na zile pesa anaitwa Asha. Jemimah yeye anamjua Asha so alipigia Saida akamwambia Asha amepatikana,lakini ameshikwa na anapelekwa central police station...Saida hajawai shtuka hivyo.

17/12/2025

AYANA CITIZEN TV THURSDAY 18TH DECEMBER FULL EPISODES

π€π˜π€ππ€ πŸπŸ•π“π‡ 𝐃𝐄𝐂 π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 Robert alikua kwa call na Saida abamwambiwa wee unataka niache kazi zangu nitafute ...
17/12/2025

π€π˜π€ππ€ πŸπŸ•π“π‡ 𝐃𝐄𝐂 π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Robert alikua kwa call na Saida abamwambiwa wee unataka niache kazi zangu nitafute Asha,unajua hiyo haiezi work bwana. Punde si punde, Annaliza akakuja,akauliza Robert,umeongea na Tyrone? Robert akamwambia zii, kwani yuko? Ann akamwambia yafaa tuwe na meeting but hajashow up. Sisi tunajua Tyrone ako police.

Huku police,Sabina anaangalia Jemimah anaona apana huyu mama hamuamini kabisa, Punde si punde, Ray akamcall Jemimah akamwambia yafaa akujie hizi pesa ni risky sana wakikaa nazo. Jemimah akamwambia relax,ngoja mambo yatulie.

Huku Sabina na Saida wamengoja Tyrone atoke,huku Saida anawaambia iam sure na najua Tyrone sana haezi fanya kitu k**a hiyo. Tyrone alitoka akawaambia guys iam innocent huyu mubabaz ni hasira tu ju my daughter dumped him.

Chris na yeye akauliza Jemimah,nilikuona kwa Tyrone ulikua unafanya nini? Jemimah akasema ni kuona Tinah,she wanted to see me and she apologized. Chris hana habari kikulacho ni chenye huwa anakula.

Report ilifikia Robert kuhusu venye Chris alisema Tyrone alituma goons kumuibia but all in all hakuna evidence hataa.

Asha maisha inashika sana..kashaambiwa kasiwe kakienda kazini,yeye akae,afagie nyumba na alale Ray aende kazini. Lakini wakati anafagia fagia,aliona kitu kwa carrier bag akashindwa hii ni nini...kutoa,akashtuka hadi akatupa. Makosa sana.

Jemimah alikuja akameet akina Ray na AL akawaaambia,mnaeza toa cut yenu but mkae mkijua najua pesa mliiba so msijaribu hata noti moja tutakosana vibaya sana.

Asha aliamua kumcall Beka ju ako na number yake. Beka akashika akishindwa hii new number ni ya nani..lakini alisikia tu sauti akajua ni Asha. Akamuuliza wee uko wapi Asha, uko wapi? Asha akamuuliza mamangu yuko aje? Beka akamwambia mama hayuko sawa,na hukufanya vizuri kabisa kuenda,mamako analia sana kila siku.

Asha aliuliza Beka, mnaona k**a nilifanya makosa kutoroka kwa sababu nimechanganyikiwa sana. Beka akamwambia Asha,k**a unataka msaada niambie hata k**a hutaki wazazi wako wajue. Asha alimwambia tu,tafadhali usiambie mtu tumeongea na usalamie mamangu. Kumbe Tinah alisikia Beka wakiongea kwa simu, Asha anaregret ju anajua, she made a mistake kuhepa na Ray.

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Tinah alikuja akauliza Beka umekua unaongea na nani? Beka kajigoroka kiasi kiasi but Tinah already ashajua ni Asha. All in all Tinah alipigiwa simu mzigo wake wa Gikomba ushafika.

Kazini kawaida, Robert anajituma sana kwa Annaliza,hadi Anna akamuuliza, mbona kila saa unakuja kuniangalia and inviting me for dinner,what exactly unataka I hope si kujaribu kudinyadi wewe? πŸ˜‚πŸ˜‚Robert akamwambia tulia, just dinner I promise hakuna kitu tutafanyaπŸ˜‚πŸ˜‚.

Tinah ashapata manguo zake yafaa auze hadi Beka akamwambia manze jamaa anakuuzia hizi manguo anakupea mzuri mzuri sana,yafaa umshikilia. Tinah akamwambia hata babake anampea support sana. Beka akamwambia heri wewe wazazi wazuri,sisi wengina hatukubahatika kuwa na wazazi. Tinah akamuuliza unamaanisha aje? Beka akamwambia ni venye sisi wengine wazazi wetu hawakutu....kabla amalize,akaona Saida anawasikiza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Beka alimfuata Saida ju kuna ujumbe yafaa ampee kutoka kwa Asha,lakini makosa Beka alifanya ni,aliacha simu yake hapo,Tinah akachukua simu ya Beka,akatoa ile number yenye Asha alitumia kumcall akaweka kwa simu yake.

Beka alikuja akaambia Saida,unajua nimeongea na Asha? Saida akamwambia usitaje jina la mtoto wangu wakati wewe ndo ulisababisha..Beka akamwambia nimeongea na yeye na alikua analia akisema anajutia sana. Saida akajua mara moja lazima huyo kijana amefanyia Asha wake kibaya...akaambia Beka nipe ile number. Hapo ndio Beka akarealize simu aliacha penye Tinah alikua.

Saida na Beka wakakuja kuangalia ile number kwa simu ya Beka lakini kumbe,wakati Tinah alichukua ile number kwa simu ya Beka,she deleted it,,so Beka hana number sasa but Tinah yuko nayo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tinah alikuja akacall ile number,akaambia Asha sikiza, hata k**a hutaongea. Huku ushasahaulika na hata mamako haezi taka kusikia jina lako likitajwa,so ningekua wewe singewai rudi huku... Tinah anaongea huku Asha anasikiza tu. Tinah akamwambia sikiza, stay away from us. Asha akamuuliza hii number umetoa wapi? Tinah akamwambia usikue mjinga,si umecall Beka na hapo ndio amenipea number,tumia akili....mako!..makosa.

Asha sasa akajua, ako na mission moja tu,kudeal na Tinah na haezi deal na Tinah akiwa mafichoni,atadeal na yeye wakiwa kwa mansion woote..ba! Baaaaaasi..Tinah? Asha is coming for you sister.

16/12/2025

AYANA CITIZEN TV WEDNESDAY 17TH DECEMBER FULL EPISODES

π€π˜π€ππ€ πŸπŸ”π“π‡ 𝐃𝐄𝐂 π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒 𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 Jemimah alipigiwa simu na Ray,akamuuliza mbona hukuniambia Chris ako na gun? Jemim...
15/12/2025

π€π˜π€ππ€ πŸπŸ”π“π‡ 𝐃𝐄𝐂 π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Jemimah alipigiwa simu na Ray,akamuuliza mbona hukuniambia Chris ako na gun? Jemimah akamwmabia sikujua ataibeba...Jemimah akamuuliza na pesa mko nazo? Ray akamwambia yeah na sijui pa kuzieka..Jemimah akamwambia kaa nazo hadi mambo yatulie. Ray akajaribu kumwambia yoh mi siezi kaa na hizi pesa lakini Jemimah akakata simu,kwa nini? Kwa sababu Chris aliingia.

Chris amefika akiwa ameumia sana,alafu Jemimah anajifanya kuhurumisha sana but she is the master rmind...akamuuliza k**a aliona wale wezi but Chris akamwambia zii,sikuwaona but shida yangu tu walijuaje niko na pesa. Ona Jemimah venye pia anasema na kweli walijuaje πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚makosa yenye akina Ray walifanya ni,waliacha motorbike.

Ray ilibidi arudi nyumbani,shida sijui ataambia Asha aliumia akifanya nini na bado yuko na zile pesa,mamillion ya pesa. Alifika k**a Asha kamelala akaingia pole poooole kwa room akaeka chini ya bed,but Asha hakua amelala,she was awake na akaona chenye kimeekwa kwa kitanda. Kuuliza Ray akasema ni vitu za job.

Asha akanotice kidonda kwa mkono wa Ray,akamwambia babe yafaa twende hosi lakini Ray akamwambia yoh mi niko sawa babe, usiwe na wasiwasi.

Kumbe Chris na yeye alisuspect mtu, Tyrone. Chris alimcall Tyrone akamwmabia najua ni wewe tu ulitumana watu waniibie pesa and you will pay for it. Tyrone akashindwa,sasa hii imetoka wapi ju kusema ukweli he has no idea what Chris is talking about πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ray ashatulia amefungwa mkono huku Asha anamwambia babe siezi taka kitu mbaya ikufanyikie ama ufanye kitu mbaya. Ray anamwambia tulia babe, siezi fanya kitu mbaya na nitamake sure unakaa maisha poa. Punde si punde wakikunywa chai, mlangoni kukabishwa.

Ray akauliza huyo ni nani anabisha? Kumbe ni yule jamaa mwenye walikua na yeye jana,at least Ray roho ikatulia. Lakini cheki,wakati Ray ameenda kuongea na beshte yake kwanza anaitwa Along Lilo(AL)...hapo na hapo,Asha akafanya one, very big mistake,akaenda kuangalia ni nini Ray alieka chini ya kitanda jana usiku,,aaah! Makosa. Hata k**a ni bwanako,as long as ushajua yeye ni gaidi na asuspect unaeza mset manze wewe ni kwisha maneno,Asha, ashajitangazia Kang'o ka Asha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
AL alikuja kuongea na Ray kujua venye ako na Ray akamwambia mnaona shida mumenieka? AL akamwambia tulia at least uko sawa.

Ray hawana habari Asha ashachukua bag. Kisha AL akaambia Ray unajua hiyo pikipiki waliipata? Ray akamwambia unaona, sasa si tutashikwa? AL akamwambia tulia,hiyo piki niliiba so wakitafuta watashika tu mwenye pikipiki but si sisi.

Ray akaambia AL achukue zile pesa aende nazo but AL akamwambia si unajua mi huwa siishi pahali so kaa tu na hizo pesa.

Wacha Ray arudi kwa nyumba,apate Asha ako na ile bag..lakini ajabu ni kuwa Ray hakushtuka,kwa nini,kumbe,enyewe akili mali, real bag ya pesa haiko hapa,real bag ya pesa Ray alificha akakuja na bag ingine yenye imejaa nyundo,koromeo na kokobilo..hizo ni vifaa za mjengo mshishangae πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Swali alibadilisha saa ngapi? Usiku, wakati Asha amelala,Ray alishuki,akaamka pole pooole akachukue zile pesa akaeka kwa bag tofauti,.na bag yenye Asha aliona akaeka zile vifaa vya mjengo. Hivyo ndio Asha kalichezwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tinah na yeye shughuli after shughuli,kwanza leo anaenda Gikomba na ashaitisha uber. But msee wa uber anamchelewesha sana akafanya Tinah akachelewa hadi akapatwa na Jemimah.

Jemimah alimpata Tinah akamuuliza niliambiwa unanitafuta? Tinah akamwambia yeah, I just wanted to kuomba msamaha. Jemimah akamuuliza what if ni plan yako na Chris nidhani mumeachana kumbe mnanicheza? Tinah akamwmabia for real for real I mean it.

Lakini punde si punde, Jemimah akaona makarao wanaenda kwa Tyrone na Chris ako ndani. Jemimah akajua mara moja ni Tyrone ameendewa.

Tyrone yeye hana habari what's coming, ashaoga anaenda kazini lakini punde si punde, makarao wakafika na Chris. Akawauliza shida ni nini? Chris akasema ni huyu,alitumana watu waniibie pesa zangu. Tyrone yeye hajui anything...amekuja tu kushikwa.

Jemimah pia alifika akauliza Chris ujinga gani unafanya? Chris akasema huyu ndio alituma watu waniibie ju ni yeye alijua nimelipwa shares zangu. Tyrone alikosa otherwise wakaenda polisi kuandika statement but Tyrone aliangalia Jemimah kwa macho akamwambia sikiza Jemimah, I have nothing to do with this. Jemima anajua yeah its not Tyrone,ju ni yeye k**a Jemimah ndio alitumana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

14/12/2025

TOP 8 MEMES TO MAKE YOUR DAY AWESOME πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

1:Some times don't be a boring child ,,go to your dad na umulize wangapi walikula fair yake ndio wakapatana na mamakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

2:Madem ni either muvae crop top ama mukae bila kabsaa lakini sio kufungia T-shirt Kwa tumbo k**a chokoraπŸ˜‚πŸ˜‚πŸšΆπŸšΆπŸŒοΈ

3:Fallen bo*bs should be dipped in water to check any possible puncturesπŸ˜‚πŸƒ

4:90% of relationships ends because, "why should I text first"πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€·πŸ½β€β™‚οΈπŸ€·πŸ½β€β™‚οΈπŸ€·πŸ½β€β™‚οΈ

5:Kwa harusi yangu utapimwa size ya mguu..ukipitisha number 7 unarudi nyumbaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜hutakuja hapa kunikanyagia wageni tukidanceπŸ˜†πŸ˜†πŸ’”

6:If you came back from work and see your Dad beating your father and your parents are not at home,what will you doπŸ€”πŸ€”πŸ€”

7:Ulipressure chali yako aingie gym with his 5.2 height juu unapenda 6 pack. Sasa unataka kumuacha juu ameunga na ni kadogo kanakaa kifuliβ˜ οΈπŸ™†πŸΎβ€β™‚οΈπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚

8:so when your parents ask you for a grandchild they basically want you to fπŸ†ck someone's daughter and nut in there. πŸ˜§πŸ˜§πŸ˜‚πŸ˜ŒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

Unatoka maisha ya kibabi unaenda kuuza makaa in the name of loveπŸ˜‚πŸ˜‚
13/12/2025

Unatoka maisha ya kibabi unaenda kuuza makaa in the name of loveπŸ˜‚πŸ˜‚

Je!! Baada ya Bryson kutekeleza wizi, atapelekea Jemima hiyo pesa?? Je!! Atatafuta rafiki yake ili ajue venye ako?? Je!!...
13/12/2025

Je!! Baada ya Bryson kutekeleza wizi, atapelekea Jemima hiyo pesa?? Je!! Atatafuta rafiki yake ili ajue venye ako?? Je!! Asha akijua Bryson ni thug, ataendelea kukaa na yeye ama atarudi kwa wazazi wake?

π€π˜π€ππ€ 𝟏5𝐓𝐇 𝐃𝐄𝐂 π’πŸŽπŸ‘ π„ππŸπŸ•-πŸπŸ– π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒  𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 Asha imebidi aanze kuuza makaa hapa Kinyanjui...ju kazi zimekua hard ...
12/12/2025

π€π˜π€ππ€ 𝟏5𝐓𝐇 𝐃𝐄𝐂 π’πŸŽπŸ‘ π„ππŸπŸ•-πŸπŸ– π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Asha imebidi aanze kuuza makaa hapa Kinyanjui...ju kazi zimekua hard joh...alafu mwenye amempea kazi ni madhe mwingine kichwa ngumu mbaya mbovu, mjaluoπŸ˜‚πŸ˜‚Asha anapelekwa mbio,anaambiwa hapa uzembe kazini sitaki na usifanye nikasirike πŸ˜‚πŸ˜‚woiye Asha. As this is happening, hapo mbeleee Jemimah anajionea kila kitu,haamini huyu ni mtoto wa sonko anafanya kazi ya kuuza makaa,lakini kazi ni kazi tu!

Kumbe Sabina na yeye alikuja kuona Robert lakini sasa kuna shida, Robert hataki Sabina aingie ndani anamwambia niko mbio sana leo hutaingia. Robert anajua huko ndani ameacha Monaliza akifanya kazi zake na Sabina akienda huko itakua balaa. Hata si Monaliza, ni Analiza.

Chris bado anajaribu kusweet talk Tinah lakini Tinah alimwambia sikiza, mimi na wewe it's a done deal na usiwai jaribu kunitafuta tena. Chris haamini ati hatakwi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Robert amefika kazini,akapata Tyron is stressed sana hadi anamwambia najua uko worried ju ya Asha hata mtu anaeza dhani she is the only child of you...Tyrone akamwambia kwanza acha Asha, Tinah sikuhizi amechange sana,ashaanza biashara zake,she nolonger drink and she is really being a good girl.

Kumbe Sabina na yeye,alishuku kitu,akangoja Robert ameenda akarudi akabisha kwake πŸ˜‚πŸ˜‚nani alifungua, Analiza. Sabina akamuuliza wewe na wewe ni nani? Analiza akamwambia yoh, iam just his colleague,akaulizwa na unafanya nini kwake? Analiza akamwambia wee una maswali mingi sana kwani wee ni karao πŸ˜‚πŸ˜‚remember, Analiza ashaambiwa kila kitu na Robert and how he was helping Sabina kuhusu mtoto wake,hadi akamwambia najua una issues na mtoto Robert aliniambia but usijali atakua sawa.

Kitu kinasumbua Tyron ni hiki, Tinah alienda shule akapata X but now she is doing well, alafu Asha na yeye mwenye alikua wa kwanza ameacha shule ameenda kwa mapenzi. Tyrone anasumbuliwa sana na haya maneno mawili.

Ray ametoka mjengo akapata Asha amelala amechoka sana kwa kuuza makaa, akamuuliza babe, kwani umekua unafanya kazi gani? Asha akamwambia kuuza makaa na hata nimepata chwani nne leo. Ray akamwambia bebez please, hii si kazi yako,acha mi nifanye kazi ju hata leo mimi nimepata soo sita plus zako ni soo nane so for days tutakua sawa.

Kumbe yule jamaa tena alikuja kuona Ray, akamwmabia mzee leo leo usiku Jemimah amesema kuna mission so jipange tunatoka na unajua hufai kudissapoint Jemimah..makosa ikawa, Asha alisikia πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Masaa ilifika, Ray akavaa makwanda zake na akadanganya Asha, akamwambia babe, unajua foreman amesema nikimbie kazini kuna kazi ya usiku so acha nikimbie nipate pate tu pesa. Asha akamwambia ni sawa but si poa ukitoka usiku,just make sure unarudi na usichelewe. Huh! As if atarudi...

Robert mausiku pia akiwa ametulia,Sabina alikuja akamuuliza, huyo mwanamke wako ako wapi mwenye alilala hapa? Robert akamwambia relax Sabina hakuna mwanamke hapa. Sabina akamwambia usinione makota yako,kwanza anajua story ya mtoto wetu kwani alikupea nini ndio ukamwambia kila kitu? Robert alipiga piga kiswahili hapo na akamwambia hata k**a alilala hapa mimi nililala kwa kiti na hakuna kitu tulifanya ju I have you.

Chris na yeye alisetiwa kwa bibi yake,akaambiwa bwanako alipewa 15million na anatumia vibaya sana. Kumbe Jemimah alitumana akina Ray wamuibie Chris πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Chris wakati tu anatoka kwa bar akiwa happy kuspend time na mrembo mwingine,alishtukia nini, kuna pikipiki inamfuata,mako...makosa. Huyo ni Ray na yule beshte mwingine na mission yao ni moja tu,kuibia Chris pesa zooote zenye ako nazo.

Upande wa Saida amelia sana she is not used kukaa for long bila Asha wake,hadi ni Tyron tu anampombeleza.

Chris akiwa kwa barabara akanotice kuna pikipiki inamfuata...punde si punde, akidhani ni watu tu,alishtukia nini..wamesimama mbele yake kisha wakashuka na mabunduki. Withini minutes,Chris alikua ashaibiwa pesa zote na akapigwa kofi hadi chini,lakini makosa ikawa,Ray hawakuambiwa ati Chris ako na gun yake,makosa...wakati tu wanaenda kuchukua pikipiki wahepe, Chris alipata kachance kadogo tu,akachukua gun yake kisha akamlenga Ray moja ya kifua,mbaya mbovu....woi! Ray,mpenzi wa Asha,mwenye aliambia Asha anarudi sai sai walale,manze....

Turudi kwa Tyron, yeye na Tinah wako in good terms and Tinah is now a changed girl...

Kumbe Ray alibahatika, ndio pesa washaziiba lakini alipatwa na risasi ya mkono na hii sasa huwezi ficha...kuhusu beshte yake,ni hadithi tu.

Tyron akiwa na Tinah,Sabina alifika alafu anajifanya mzuri anamkiss Tyron lakini Tyron akamuuliza,umetoka wapi usiku huu? Sabina akasema ooh walivisit a sick friend and blah blah but Tinah anajua kwenye ametoka.

Sabina alimuuliza Tinah ulikutana na Jemimah? Tinah akasema noo but nilikutana na Chris but nothing happened even though alikua ananiambia tu story za sijui pesa dad alikua anampea...Tyrone akasema yeah alipewa shares zake.

Sasa taabu,shida na hulabaloo imemlalia Ray sasa,ni usiku,pesa anazo lakini hajui hali ya beshte yake ju after lile risasi walikimbia njia tofauti.

12/12/2025

Najua ulikua unaelewa topic ya MATRIX, hebu solve hii EQUATION πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

π€π˜π€ππ€ πŸπŸπ“π‡ 𝐃𝐄𝐂 π’πŸŽπŸ‘ π„ππŸπŸ•-πŸπŸ– π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒  𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 Robert ameshtuka but ju ashafika wakamwambia akae hapo...Robert akain...
11/12/2025

π€π˜π€ππ€ πŸπŸπ“π‡ 𝐃𝐄𝐂 π’πŸŽπŸ‘ π„ππŸπŸ•-πŸπŸ– π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Robert ameshtuka but ju ashafika wakamwambia akae hapo...Robert akaintroduce Monaliza akaambia Sabina, this Monaliza na akaambia Monaliza, this is Sabina, Tyrone's wife. Lakini Monaliza akashindwa,bibi ya Tyrone mnafanya nini na yeye kwa bar πŸ˜‚πŸ˜‚

Ray ndio anarudi nyumbani kumbuka alitoka 3pm kuendea nyama amerudi 10pm bila nyama na akitoka alikua ameongelesha Asha vibaya sana. K**a mwanaume aliomba msamaha but Asha akamwambia mimi sipendi vita.

Asha alikua ashapika chakula but hakua amekula,alikua anangoja barafu wa moyo wake. Yani mapenzi wewe.

Robert hakuenda alikuja akaambia Monaliza, najua umeshangaa umenipata na wife wa Tyron but ukweli ni Tyrone na mkewe are going through alot, they have a girl who is dating a married man so wanataka niongeleshe Tinah. Monaliza si mjinga πŸ˜‚πŸ˜‚anaona hapa napangwa vizuuuri sanaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚

Monaliza na Robert walikua wabenzi zamani,wakafanya tafia mbaya wakapata mtoto. Thats for the record.

Huku kwa Ray ilibidi Asha apike mabwoni 🀣🀣wanakula mabwoni na suturungi. Ray aliuluza Asha,sasa story za kazi umefikia wapi? Asha akamwambia natafuta tafuta hope nitapata. Ray anamwambia inaniuma sana badala ya mimi kutafuta kazi ni wewe unatafuta. Asha akamwambia usijali pia ni mtu mzima na yafaa tunasaidiana.

Kwa Chris mambo hayajatulia 🀣🀣Chris alikuja na anytime anafika mtoto anaondoka ju anamuogopa sana hadi Chris akauliza Jemimah kwani kunaendaje mtoto hadi hanitaki ama unanifunza? Jemimah akamwambia usijali, she is just learning how monster her father is 🀣🀣🀣woiye Chris. Chris akamwambia na nik**a you never learn the lesson sio? Jemimah akamuuliza utadu? Utanipiga ama utaleta mistress wako Tinah? Chris anasikia kutandika Jemimah but he just can't 🀣🀣🀣

Tinah kazi inashika kushika,she is making some money. Tyrone anaona enyewe his daughter is doing well and this is every man's dream daughter. Kuna kitu Tyrone alitaka kuongea na Tinah,akamuuliza mum, wewe na Chris iliisha ama bado? Tinah akamwambia waai dad hata ukitaka nihug miti for 90hrs I will,iam done with him na niliona ni ujinga tu nilikua nafanya. Tyrone akamwambia good,but nataka unifanyie one thing...Tinah akamuuliza gani dad? Tyrone akamwambia if you can go and apologize to Jemimah. Kumbe Sabina asharudi akasikia,akasema upuzi,mtoto wangu haezi enda kuomba msamaha kwa Jemimah,na akiuliwa? Tyron akauliza mbona auliwe? Tyrone akaambiwa Jemimah wanted to harm Tinah

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Tyron ameshangaa sana,akauliza kwani ilifanyika lini? Tinah akasema ile siku ya party siku yenye Jemimah alikuja huku. Tyron ndio akajua ooh so Sabina lied to him kuhusu Jemimah's visit...Sabina hakufeel poa.

Saida still anamcall Robert kuuliza story k**a amesikia penye Asha ako. Robert alimwambia zii,bado sijasikia but nikisikia I will tell you. Wakiwa tu kwa simu, Saida akasikia Robert akiitwa na kamrembo fulani 🀣🀣akashindwa sana huyu mwanaume kwani anahanya sana aje.

Leo Monaliza ameamua anafanyia kazi home so she will be around better part of the day.

Saida na yeye kuona Tyrone anaenda,alikimbia akakuja mbele ya gari,akaambia Tyrone please,nisaidie tutafute mtoto wetu lakini Tyrone alisema zii,mimi nina kazi zangu bwana. Saida alianza kulia akauliza Tyrone unanifanya hivi ju unajua siezi bila wewe sio? Nilimlea nikiwa peke yangu,na k**a hutaki kunisaidie,acha nikuonyeshe,nitamtafuta na nitamlea bila wewe.

Tyrone alimwambia basi nyamaza! Acha kulia basi,nimefanyia Asha kila kitu and she keeps disapointing me. Saida akamwambia ubaya wako ni hukumsikiza. Imagine just like that, Tyrone akaingia box aka shika Saida mkono akamuingiza kwa gari akamwambia mamaa,twende tutafute mtoto wetu 🀣🀣🀣

Asha na yeye amezunguka sana Kawangware anatafuta kazi yeyote,iwe ya hotel,iwe ya salon any job anatafuta. Ray naye on other side ako mjengo,anajituma sana lakini mbele yake, Jemimah 🀣🀣🀣

Tinah na yeye she took it serous..alikuja kwa Chris,anataka kuona Jemimah lakini kufika Jemimah hayuko,alimpata Chris. Chris akamuuluiza babe, umenitembelea mapema hii? Tinah akamwambia kwanza iam not your babe, and two iam not here for you niko hapa kuomba Jemimah msamaha.

Kumbe Saida na yeye, pia alikua amekuja kwa Jemimah kuona Jemmy,lakini kufika akapata ndio Chris anajaribu kuongea na Tinah...akafanya nini 🀣🀣akawarecord,kisha akamcall Jemimah.

Jemimah alikua na Ray wakati anapigiwa simu,akaambia Jemimah, niko kwa gate yako na nawaona Tinah na Chris mapenzi si mapenzi hata nishakutumia video so I think naeza uliza penye kuna mtoto wangu? Jemimah akamwambia yeah, I might be having some information...Ray kusikia hivyo akachukua simu ya Jemimah akakata,akamwambia please usitupeane please,hata k**a ni kazi niambie nikufanyie. Jemimah akamwambia good, kuna kazi nataka unifanyie, details nitakupea baadaye 🀣🀣🀣

Address

Nairobi West

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AYANA Updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share