12/04/2023
๐ฆAUNTIE WA DUKA ๐๐ฅ New story...testing ๐ฌ
Part 1
Ni mwezi mmoja umepita tangu nihamie hii ploti. Maisha kwa ile ploti ingine ilikuwa ngumu baada ya caretaker kuanza kunishuku kuwa namkulia bibi yake.๐ Ilibidi tu nimehama ju mwili yangu si ya kukatwa na panga.๐ก๏ธ Nje ya ploti kuna duka fulani hapo. Shopkeeper ni mama mwingine Mkamba. So juzi nilishinda dooh kiasi pale Betika nikaamua kufanya budget ya keja kwa lile duka. Kufika dukani nilishtukia venye huyu mama alikuwa amebeba huku nyuma.๐ Niliamua kuwa ule jamaa wa Punguza Mzigo Intiative nimsaidie kubeba hiki kinyambisi chake.๐ Nobody can stop reggae lakini haga kubwa kubwa K**a hii huzima woofer yangu kabisa.๐คช Nilishindwa kuongea na hata nikasahau chenye nilikuja kununua hapa. โNiaje, naitwa รฑรฎvlรซk wรฃyรธ Ule mmoja wa Facebook Nilijipata nimekohoa. Sijawahi jiangusha. โNikuuzie nn?"๐ค Nilitaja burungo zote zenye nilikamia huku. Shetani alinichocha nirushe mistari. โDate achia kalenda na out achia wezi. Nadhani mimi ni mwizi ju ya venye I have stolen your heart. Niaje wewe ni m_hot hivo? Ama ni venye nimekuspot bila hotspot?"๐
Niliangaliwa na jicho lingine mbaya lakini mm nami ni nani?๐๐ Ilibidi niendelee na mistari k**a wanaume wenzangu wa ile Sacco yetu. โSijui nifungue roho ama nifungue wallet nilipie hizi vitu vyote?"๐ Sikujibiwa tena. Niliboeka but sikuonyeshana wazi. Ilibidi ninyamaze. Alinifungia shopping yangu nikamlipa nikajiendea zangu pale kwa bedsitter yangu.๐ญ๐ญ Rohoni nilikuwa najichukia. Si heri ningejinyamazia tu badala ya kujiabisha?๐ K**a mbaya wacha niharibike tu nayo!โ๏ธ Nilijipata kwa duka tena. โNadhani nimesahau kitu hapa." Hata sikuwa sure k**a nilikuwa naongea na huyo mama. โUmesahau nn?"๐ณ๐ณ Aliniuliza huku amebomoa sura k**a magoti ya Atwoli.๐ฃ โNadhani nimesahau roho yangu hapa!"๐ฏ Aliniangalia akapiga smile. โWacha nikwambie kijana, mimi ni bibi ya Landlord wenu...."๐คฆ๐คฆ