18/09/2025
Hustle till you make it sindio😉
At 21 years old.
Heh kazi ye teddy bear ikaleta shida vile mwenyewe alianza kuniguza ma behind na bo***es. Nikaacha kwenda because ain’t no way. Ananiambia atanipea promotion nifanyange part ya tu puppets😂😂 brother ewww!
Anyways nikajaribu mpaka modeling pale Ruiru, palm shade kumbe number 3 alikua analipwa smirnoff ice tatu na 100 bob🤦♀️ na nguo nilikua nimeomba. Show ikaisha late time singemake kwenda home nisinyongewe githurai ahhh. Nikajaribu kurudishia waiter tule tupombe anipee pesa akakataa nikatukunyua😔
Nikaona hustle ya Nairobi haileti shangwe. I moved to Mombasa to work as a Casheer/receptionist. Tena huko ndio uyo ithe wa shiana akisema heeey bebeee let’s see how this goes😂😂
Nikawacha kazi nikaenda kujaribu ndoa. Aiyayayaya five or six years later ata sijui ni ngapi but two children later kwa kina ndoa kukaleta kinyoriro and I was back to the hustle except this time nilikua na tumidomo tuwili extra🙆♀️
Gaes I tried everything now, nikakua salesperson wa sigara, nikakua waitress..nikaenda big brother africa auditions, tusker project fame ahhhhh but finally nikaanza kuimba mugithi and this right here is where I stuck because ilikua inaleta tupesa.
Lakini bado nikiwa naimba juu that only happens on weekends, nilikua naamka mapema weekdays kuskiza Kiss FM wakianza zile michezo za sijui do this to win..napiga simu immediately. I won a phone yenye niliuza 18k, nikashinda airtime ya 2k nikauzia watu wa hood😂 nilikua nasimama karibu na duka nauliza k**a wanataka na nawaambia nitawaongezea one bob.
Now one valentines day week, Kiss FM had a competition. They were looking for a single lady, aende date wamlipie kila kitu, na wampee mbesha.
Let me tell you my friends, I was that lady.
Called in and Kenyans voted for me.
Sasa I went to the studio and guys were asked to call in, give a reason why I should choose one of them to go on a date with me. I listened carefully to each one of them na the one I picked juu ya sauti heh😂😂😂🙆♀️
I think I will continue with this story on the next post juu hii ni k**a imekua too long. AmaNjeri Muirurieri Muiruri my sister kuna mahali nimewacha juu wewe tulikua partners in crime ni vile tu wewe ulikua ka rich kid.