THIKA 237 FM

THIKA  237 FM News Media company giving you timely local & International news in both English & Swahili.

DONE! πŸ™Œ You can bet with museveni card. Congratulations to Raila Amolo Odinga in advance.
02/01/2025

DONE! πŸ™Œ
You can bet with museveni card.
Congratulations to Raila Amolo Odinga in advance.

DONE! πŸ™Œ You can bet with museveni card. Congratulations to Raila Amolo Odinga in advance.
02/01/2025

DONE! πŸ™Œ
You can bet with museveni card.
Congratulations to Raila Amolo Odinga in advance.

01/01/2025

They have recruited Maina Njenga to counter Rigathi Gachagua popularity in Mt Kenya & return it to Ruto πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
we are not boarding.

01/01/2025

Unazaa mtoto wakati wa Moi akiwa mzima Kibaki ana msomesha bure Uhuru anamtegenezea uchumi KASONGO anamuua πŸ€”

01/01/2025

Tangu ile interview kwani kindiki alienda wapiπŸ˜„

01/01/2025

Ata hatujafanya Homecoming ya kindiki πŸ˜„na vile kunaenda

31/12/2024

Mwanafunzi mjinga atabaki kua mjinga ata ukimbadilishia mwalimuπŸ™‚

31/12/2024

kukata mΓΊrima mara mbili ni hard small πŸ˜„πŸ˜„

31/12/2024

hahaha gachagua was right ata wa change 1st lady the problem is the president

31/12/2024

Anti-abduction protests continued Monday, with police firing tear gas to disperse crowds in the capital, Nairobi. At least 53 unarmed protesters were arrested across the country throughout the day, according to the state-funded Kenya National Commission on Human Rights (KNCHR).

31/12/2024

Am feeling shy to enter 2025 coz is my first time πŸ™ˆπŸ˜‚πŸ˜‚

31/12/2024

Si walisema Kindiki ni mtu wa yes sir?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kumbe tulisahau ni mumeru

24/12/2024

Churches dont pay tax because they are integral part of the system to keep people in deep sleep,mindless,fear and believing without questioning. Teaches to respect,obey and accep lies and never criticise leaders.
Then your eyes are useless if your mind is blind.

Mwanasheria aliyepewa jukumu la kuanzisha mahakama ya uhalifu wa kivita nchini Liberia amesema kesi za kwanza zitaanza k...
22/12/2024

Mwanasheria aliyepewa jukumu la kuanzisha mahakama ya uhalifu wa kivita nchini Liberia amesema kesi za kwanza zitaanza kusikilizwa katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

22/12/2024

Mamlaka nchini Uganda zimesema leo kwamba idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na maporomoko makubwa ya udongo yaliyotokea kiasi wiki tatu zilizopita imefikia 40.

22/12/2024

Watu wasipungua 22 wamekufa leo Jumamosi baada ya basi la abiria kupinduka na kushika moto kwenye jimbo la kusini mashariki mwa Brazil la Minas Gerais.

22/12/2024

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis leo ameelezea masikitiko yake makubwa juu ya athari za mzozo wa Gaza na mashambulizi ya makombora yanayowalenga watoto kwenye ukanda huo..

22/12/2024

Kundi lililoongoza mapinduzi dhidi ya Bashar al-Assad nchini Syria limemteua Assad al-Shibani kuwa waziri wa mambo ya nje katika serikali ya mpito. Al-Shibani alikuwa miongoni mwa maafisa wa serikali ya uokoaji ya Idlib.

Address

Nairobi
0712347807

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when THIKA 237 FM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to THIKA 237 FM:

Share