Kingpin memes

Kingpin memes ๐—™๐—ฎ๐—ฐ๐—ฒ๐—ฏ๐—ผ๐—ผ๐—ธ ๓ฐฆ… ๓ฐŸ—
๓ฐฆ ๓ฐฆŠ ๓ฐฅฐ ๓ฐŸก ๓ฐŸถ ๓ฐŸป
Home of entertainment
(3195)

A Short Story ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
12/09/2025

A Short Story ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

11/09/2025
Ndio nimeendea Audi yangu leo. Niwapate wapi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
10/09/2025

Ndio nimeendea Audi yangu leo. Niwapate wapi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Good morning ๐ŸŒ„๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐ŸคŒ
10/09/2025

Good morning ๐ŸŒ„๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐ŸคŒ

Nikama tissue paper ya Gen z Goliath imepatikana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
08/09/2025

Nikama tissue paper ya Gen z Goliath imepatikana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”

wakuu piteni izi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
06/09/2025

wakuu piteni izi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
03/09/2025

๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Kbc channel's Admin (EB) response after he was asked to say "Wantam" ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

K**a kuna madereva sitakagi mchezo nao ni hawa wa exhauster juu hii mzigo yao huwa silaha. Sasa juzi kuna mmoja alisimam...
03/09/2025

K**a kuna madereva sitakagi mchezo nao ni hawa wa exhauster juu hii mzigo yao huwa silaha. Sasa juzi kuna mmoja alisimamishwa na askari wa traffic eti juu miguu imeisha wakavurugana mbaya sana hadi karao akadai gari ipelekwe station. Kaderee yeye hakubishana, alipeleka gari station akaipark apo karibu na OB kisha akashuka kwa utaratibu akaenda apo nyuma ya gari huku akijifanya anabonga na boss akafungua tap kiasi tu shonde ikaanza ku drip mdogo mdogo. Kumbe jamaa shonde alikuwa amebeba ya kawangware, akaongezea ya wahindi pale westlands kisha akajazilia na ya pipeline Wueh! Sasa juu ya combination ya hizo shonde tatu usiku ikaanza ku react. Kitu ikachemka ikageuka kuwa atomic bomb. Nakuambia harufu ilijaa station hadi OCPD akazilai. OCS naye akaruka fence akihepa. Mahabusu kwa cell wakagoma juu ya harufu ikabidi waachiliwe yani ile station ilibaki bila mtu. The following day ilibidi kaderee atafutwe akuje atoe hiyo exhauster hapo. Kuja kugurumisha gari battery zikakataa akaenda kutafuta zingine akarudi after 4 days. As we speak, yule askari alishika hiyo gari amepigwa transfer akapelekwa Liboi

uncle wa mamemes amefika ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
03/09/2025

uncle wa mamemes amefika ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kingpin memes posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kingpin memes:

Featured

Share