Peres channel International

Peres channel International Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Peres channel International, TV Network, Nairobi.

28/03/2025
01/11/2024

Kumbukumbu la Torati 1
3 Ikawa mwaka wa arobaini, mwezi wa kumi na moja, siku ya kwanza ya mwezi, Musa akawaambia wana wa Israeli k**a yote aliyopewa na Bwana ya kuwaamuru;

26/10/2024

English Swahili. Isaiah 60:18
[18]Violence shall no more be heard in thy land, wasting nor destruction within thy borders; but thou shalt call thy walls Salvation, and thy gates Praise.
Jeuri haitasikiwa tena katika nchi yako, Ukiwa na uharibifu hazitakuwa mipakani mwako; Bali utaziita kuta zako, Wokovu, Na malango yako, Sifa. Mungu aliye Utukufu wa Sayuni

Maralal for Jesus Christ Hallelujah 🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙏🙌🙏🙌 what God Can do no man can do
21/10/2024

Maralal for Jesus Christ Hallelujah 🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙏🙌🙏🙌 what God Can do no man can do

Zaburi 107:28-30Wakamlilia Bwana katika dhiki zao, Akawaponya na shida zao. Huituliza dhoruba, ikawa shwari, Mawimbi yak...
13/10/2024

Zaburi 107:28-30
Wakamlilia Bwana katika dhiki zao, Akawaponya na shida zao. Huituliza dhoruba, ikawa shwari, Mawimbi yake yakanyamaza. Ndipo walipofurahi kwa kuwa yametulia Naye huwaleta mpaka bandari waliyoitamani.

Malaki 4:2Lakini kwenu ninyi mnaolicha jina langu, jua la haki litawazukia, lenye kuponya katika mbawa zake; nanyi mtato...
24/09/2024

Malaki 4:2
Lakini kwenu ninyi mnaolicha jina langu, jua la haki litawazukia, lenye kuponya katika mbawa zake; nanyi mtatoka nje, na kucheza-cheza k**a ndama wa mazizini.

Address

Nairobi

Telephone

+254721175014

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Peres channel International posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category