Taswira FILMS

Taswira FILMS Film Lab
For Business, contact us via email; [email protected]

Baada ya miaka kumi ya burudani ndani ya chaneli 160 DSTV.Huba imetangazwa kufika kikomo mwezi Juni mwaka wa 2026.Famili...
28/06/2026

Baada ya miaka kumi ya burudani ndani ya chaneli 160 DSTV.Huba imetangazwa kufika kikomo mwezi Juni mwaka wa 2026.
Familia ya Taswira Films,ingependa kupongeza familia nzima ya Huba kwa kazi nzuri mliyoifanya ya kuelimisha,kuburudisha na pia kuonya jamii kwenye vipengee mbali mbali.
Huba kimekuwa kipindi ambacho,kimeunganisha waigizaji maarufu ambao wamejumuika moja kwa moja katika kuhakikisha,Huba inafikia mafanikio yake.Kuanzia kwa mwongozaji,waigizaji wote,crew na kila mtu aliyehusika,tungesema kongole sana.Huba itabaki kuwa mioyoni mwetu na pia,tutaitumia huba kujichanga na kuandika kazi ambayo itaonesha ukubwa katika sekta ya filamu.

04/05/2026

Hamisi na Abdul ana kwa ana.
Je kampuni ni ya nani?


Taswira Films pamoja na familia ya Tasnia ya Uigizaji,imesikitishwa na taarifa za kifo cha mwigizaji mzoefu Hashim Kambi...
28/04/2026

Taswira Films pamoja na familia ya Tasnia ya Uigizaji,imesikitishwa na taarifa za kifo cha mwigizaji mzoefu Hashim Kambi.
Mola awape nguvu wanafamilia katika kipindi kigumu.
Pumzika kwa amani mzee wetu🕊️

26/04/2026

Abdul matatani,kampuni imewekwa rehani.

25/04/2026

Sherehe imevamiwa na nyuki🎥

24/04/2026

Nani atashinda hii kesi,toa maoni yako.Tunakusikiliza😁
'TRL HEIST

19/04/2026

Jiunge na ukurasa wa Taswira Films,ili uwe wa kwanza kupokea filamu zetu mpya.

Address

Nairobi
00100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Taswira FILMS posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share