PeupePeupe Tv

  • Home
  • PeupePeupe Tv

PeupePeupe Tv Kenya's Number 1 online political TV and human interest stories GROUND

Ni nani atakayepewa nafasi ya naibu Rais iwapo Rais Ruto atasikiliza ombi la baadhi ya wabunge kutokea eneo la Magharibi...
26/05/2026

Ni nani atakayepewa nafasi ya naibu Rais iwapo Rais Ruto atasikiliza ombi la baadhi ya wabunge kutokea eneo la Magharibi la kupewa nafasi ya naibu Rais? Weta ama Mudavadi?

"Sisi Waluhya tumeumizwa na viongozi wetu wenye wako Serikalini,leo hii ukauliza Mudavadi na Wetangula ni nini Waluhya w...
26/05/2026

"Sisi Waluhya tumeumizwa na viongozi wetu wenye wako Serikalini,leo hii ukauliza Mudavadi na Wetangula ni nini Waluhya wamefaidika kwa Serikali hii watashindwa kukueleza,tusichukue nafasi za kibinafsi kusema ni jamii inanufaika ilihali viongozi hawa wanauwezo wa kupeleka miswada yetu kwa Rais eneo hili linufaike"~Eng. George Otipa Mp Aspirant mumias east

Wote wametoa ratiba ya kutoa mwelekeo haswa kwa uongozi wa magharibi. Utafuata mwelekeo wa Atwoli au Natembeya?
25/05/2026

Wote wametoa ratiba ya kutoa mwelekeo haswa kwa uongozi wa magharibi. Utafuata mwelekeo wa Atwoli au Natembeya?

Je, kuna siku magharibi itakuja kuwa na kiongozi mwenye msimamo k**a huyu, k**a ndio ni lini na ni nani? Mwelekeo wa Atw...
25/05/2026

Je, kuna siku magharibi itakuja kuwa na kiongozi mwenye msimamo k**a huyu, k**a ndio ni lini na ni nani? Mwelekeo wa Atwoli au Natembeya?

25/05/2026

14k strong 💪 FOLLOWERS can't take it for granted ❤️

Huyu asichukuliwe vivi hivi kwa Kinyang'anyiro cha ugavana wa bungoma.  Hii ni kulingana na wengi wanaojitokeza kuombole...
25/05/2026

Huyu asichukuliwe vivi hivi kwa Kinyang'anyiro cha ugavana wa bungoma. Hii ni kulingana na wengi wanaojitokeza kuomboleza naye~Joseph wekesa, Mchanganuzi

PAWA yageuka pilipili. Mimi nitaendelea kutetea kiti changu cha useneta wa gatuzi la Siaya~Dr. Oburu Odinga, EGH, MP
25/05/2026

PAWA yageuka pilipili. Mimi nitaendelea kutetea kiti changu cha useneta wa gatuzi la Siaya~Dr. Oburu Odinga, EGH, MP

Viongozi wa upinzani na makanisa waendelea kumkashifu mtoto wa pastor kwa matamshi yake ya kuiba kura ya urais. Wengi wa...
25/05/2026

Viongozi wa upinzani na makanisa waendelea kumkashifu mtoto wa pastor kwa matamshi yake ya kuiba kura ya urais. Wengi wametaka achukuliwe kisheria. Je, Savula ataomba msamaha?

"Wakenya wanaumia na wewe umepuuza malalamishi yao,umefinya watu na gharama ghali ya maisha,Sikiliza Wakenya na uwasaidi...
25/05/2026

"Wakenya wanaumia na wewe umepuuza malalamishi yao,umefinya watu na gharama ghali ya maisha,Sikiliza Wakenya na uwasaidie"~Uhuru Kenyatta

"Hata chama hakijamaliza mwaka ushaanza kufuta katibu mkuu, Cleo Malalah aamke usingizini ama tumsahau, sheenzi sana ~Pa...
25/05/2026

"Hata chama hakijamaliza mwaka ushaanza kufuta katibu mkuu, Cleo Malalah aamke usingizini ama tumsahau, sheenzi sana ~Papa Atwoli

Ndio ukoko unaalika maua, je Cleo Malalah ajipange mapema au angoje?
25/05/2026

Ndio ukoko unaalika maua, je Cleo Malalah ajipange mapema au angoje?

Address

Western

Telephone

+254713487939

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PeupePeupe Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to PeupePeupe Tv:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share