18/09/2025
Bud Flowers Lyrics
Mboka Doba!!!
Very bad! Labda flowers nikupatie za buds
Macho ni battery low na nikikuona nafeel glad
Nakuprotect ka bloods
Roho yako na plus
Ticha napenda venye uko na class
Kila time mi
Nakubembeleza ju unanipendeza
Ghetto ni one gal mpaka kwa jeneza
Kila saa kunishuku, mnisa natembeza
Ghetto ni one gal mpaka kwa jeneza
Nakubembeleza ju unanipendeza
Ghetto ni one gal mpaka kwa jeneza
Kila saa kunishuku, mnisa natembeza
Ghetto ni one gal mpaka kwa jeneza
Navuka bumps na speed
Ndo niskie sauti ya manyororo
Nyonyo ananituliza na sauti nyororo
Vulai na bado ye ndo dem wangu wa ndoto
Cold, na unakulia nani moto
Ju ya mboto, na huyo alikuwaga fan
We baki kuwa mama
Na usikai doubt
Kwa macho yangu we kifaa
Wamenikufia najua wananidai
Heri nidedi k**a si wewe nakataa
Umeniita nimekuja fast
Na sijakuja na ndege
Mambanati nionyeshe hao mamwere
Wananiharibia sifa k**a siko na wewe
Na we uko na mimi, siwezi acha uende
Kila time mi
Nakubembeleza ju unanipendeza
Ghetto ni one gal mpaka kwa jeneza
Kila saa kunishuku, mnisa natembeza
Ghetto ni one gyal mpaka kwa jeneza
Nakubembeleza ju unanipendeza
Ghetto ni one gal mpaka kwa jeneza
Kila saa kunishuku, mnisa natembeza
Ghetto ni one gal mpaka kwa jeneza
Tukikosana mi hufeel
Ni ka dunia inadai mi kunimeza
Uko na my future plans
Front seat kwa Imprezza
Marezi wako na warudisha home
Running na one shoe kwangu
Wakijifanya cinderella
Lamba glucose vumilia
Siwezi taka kuona machozi
Na natoka kulia
Mabega unaweza lalia ukifeel low
Nikikukatsia tenje unanizimia
Uzuri niko na rada nakusundua
Very bad! Labda flowers nikupatie za buds
Macho ni battery low na nikikuona nafeel glad
Nakuprotect ka bloods
Roho yako na plus
Ticha napenda venye uko na class
Kila time mi
Nakubembeleza ju unanipendeza
Ghetto ni one gal mpaka kwa jeneza
Kila saa kunishuku, mnisa natembeza
Ghetto ni one gal mpaka kwa jeneza
Nakubembeleza ju unanipendeza
Ghetto ni one gal mpaka kwa jeneza
Kila saa kunishuku, mnisa natembeza
Ghetto ni one ga