Mummie G

Mummie G Entertainment zone.come lets laugh😆
(5)

07/07/2025

Mmeamuaje hii seasons makasini wangu,,

05/07/2025

Dear KPLC,why do you advertise yourselves? si we only have you...ama mnaonanga tunaweza washa tv na kuni.?

28/06/2025

wueh!!!wueh!!!wueh!wueh!!wueeeh!!love ni kitu ingine ya umbwakini sana.😪

28/06/2025

Hakuna feeling poa k**a kushika chai red handed ikitaka kumwagika.😆

28/06/2025

Hitting them with "kuko ivo kila mahali" whenever they say they arw broke.

23/06/2025

Hio wednesday mnaenda wote ama kuna wengine tumeshikana kidogo k**a mimi.

20/06/2025

Wanaume ni wengi,ukiamua kuchagua Mulamwa shauri yako

19/06/2025

Ati mulamwa anasemaje🤣🤣 Ndio amejua alikosea Carol

19/06/2025

siku izi,naona polisi,nashtuka ,natetemeka naogopa mpaka najikojolea,k**a saa hii sijui naenda sayuni ama kwangu.

18/06/2025

In kenya right now,the only happiest family is the Ndegwas''' especially Naumi wa Ndegwa.the rest achanane tu.

18/06/2025

Lastborn wetu hajui sister yetu mkubwa ndo mamake na mama yangu ndiye shosh yake🤣🤣
Atajua akiwa late sana

18/06/2025

Did you know your brain pronounces correct English but your mouth rounds it off to the nearest nonsense 😹.

Address

Nairobi

Telephone

+254754114872

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mummie G posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mummie G:

Share