Samia culture

Samia culture MAPEMA NDO BEST

Yani wanaume now days mkiachwa mnaamua kufichuwa Siri zote ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.....Mimi advice yangu heri Baki kwenu saidia mama kulima ...
19/06/2025

Yani wanaume now days mkiachwa mnaamua kufichuwa Siri zote ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.....Mimi advice yangu heri Baki kwenu saidia mama kulima shamba ๐Ÿคจ

Samia culture we value the progress of our culture,mambo ingine Achia wazazi watatuwe jamani

Hii kijana ikiangalia mbele ndo ataona njia ya kuenda Korinda prison ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ,Hana hata roho ya utu kwa watoto wa Busibi seco...
19/06/2025

Hii kijana ikiangalia mbele ndo ataona njia ya kuenda Korinda prison ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ,Hana hata roho ya utu kwa watoto wa Busibi secondary ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ....

Samia culture keeps you safe

Sometime you might think it is a movie until you realise that you left your culture to search for a green pasture,then y...
18/06/2025

Sometime you might think it is a movie until you realise that you left your culture to search for a green pasture,then you go back to your culture while breathless ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ

Samia culture we say stay safe ๐Ÿ™

18/06/2025

Kenya ni yetu na Sisi ni wakenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ™ stop killing our young people ๐Ÿ˜ฅ

tumesikitishwa sana na habari za kushtua za kifo cha Mama Mildred Wanyama, mke mpendwa wa mchezaji wa soka maarufu Mzee ...
14/06/2025

tumesikitishwa sana na habari za kushtua za kifo cha Mama Mildred Wanyama, mke mpendwa wa mchezaji wa soka maarufu Mzee Noah Wanyama wa Wadi ya Namboboto-Nambuku, Eneo Bunge la Funyula.

Kwa niaba ya watu wa kata ndogo ya Samia, tunatoa pole zetu za dhati kwa familia ya Wanyama โ€” moja ya familia maarufu zaidi za michezo nchini Kenya. Mama Mildred, aliyekuwa mchezaji wa netiboli, hakuwa tu mama mwenye kujitolea bali pia alikuwa mshabiki asiyechoka wa watoto wake wenye vipaji.

pole zetu za dhati kwa Mzee Wanyama na watoto wao โ€” McDonald Mariga, Makamu wa Rais wa FKF na Mkenya wa kwanza kushinda Ligi ya Mabingwa ya UEFA; Victor Wanyama, Mkenya wa kwanza kucheza katika Ligi Kuu ya Uingereza; Mercy Wanyama, mchezaji wa mpira wa kikapu wa kulipwa; na watoto wake wengine wote.

Sisi, watu wa Samia, tunasimama na wewe na jumuiya nzima ya michezo ya Kenya katika kipindi hiki cha maumivu. Mama Mildred apumzike kwa amani ya milele.

Our kukhu wakiwa na furaha juwa kila kitu kiko Sawa ๐Ÿ˜‡Usiku mtakalishwa mpigishwe zile story za ojolijoli nende wangweee ...
13/06/2025

Our kukhu wakiwa na furaha juwa kila kitu kiko Sawa ๐Ÿ˜‡

Usiku mtakalishwa mpigishwe zile story za ojolijoli nende wangweee ๐Ÿซถ obwadieri bwene engano was better than Netflix ๐Ÿ˜Œ.......

Good morning macuzoHii ni mambo gani sasa? Why don't you find a lady from Namdee or Nachwere and get married ๐Ÿ˜
13/06/2025

Good morning macuzo

Hii ni mambo gani sasa? Why don't you find a lady from Namdee or Nachwere and get married ๐Ÿ˜

Drama in Etago village- Kisii County as two people said to be husband and wife laugh continuously (hysterically) since m...
12/06/2025

Drama in Etago village- Kisii County as two people said to be husband and wife laugh continuously (hysterically) since morning.

It is alleged that the two had taken avocados from the 'vibandas' at the main market stage and after eating, they started laughing non stop until they could laugh no more but continued to laugh even more.

Residents who were treated to a free comedy said that the two could be seen rolling on the ground laughing, chasing each other and trying to catch imaginary things.

It is not yet clear who's avocados they took but area chief, Mr Nyakiang'i with the help of strong youths were able to contain the two at his camp awaiting consultation with the elders and the banana vendors.

At the time we were leaving the scene, the two could still be heard laughing.
Pole.

Hii ni mambo gani sasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

The only origin in Kenya is that kuna returning officers ...... Alafu kuna Ile ya wasamia inaitwa Sirikhai ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
12/06/2025

The only origin in Kenya is that kuna returning officers ...... Alafu kuna Ile ya wasamia inaitwa Sirikhai ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Mwalimu mmoja wa miaka 33,kutoka maeneno ya Namboboto amefungwa miaka 25 Kwa kumnajisi mwanafunzi wa miaka 14....Hii man...
12/06/2025

Mwalimu mmoja wa miaka 33,kutoka maeneno ya Namboboto amefungwa miaka 25 Kwa kumnajisi mwanafunzi wa miaka 14....

Hii maneno c msuri watu yetu ya Samia,infact ni aibu mno tena Sana ๐Ÿ™„.......

10/06/2025

Macuzo wetu wote wa Busembe na Nambengele good night ๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡๐Ÿซถ

Early in the morning pale khutare kulikuwa na huu ufala ๐Ÿ˜‚ msee anakukimbiza kumbe ashajuwa setting ya mitego pale kwa ny...
09/06/2025

Early in the morning pale khutare kulikuwa na huu ufala ๐Ÿ˜‚ msee anakukimbiza kumbe ashajuwa setting ya mitego pale kwa nyasi ๐Ÿฅน....msee unaweka speedometer ingine wazimu ๐Ÿคฃ paaap!!! Chini na huezi Lia mkuu juu ilikuwa mchezo wa paka na panya ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Nilikuwa mojingaaa ingine akyyyy sema ulikuwa mojingaaa ingine ya pili juu najuwa lazima ulipitia hiii ๐Ÿ™„

Address

Nairobi
STAGE46

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Samia culture posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share