Nalulingo Tv

Nalulingo Tv Media/News Company

18/09/2026

Tv

Gavana wa kaunti ya Bungoma Kenneth Lusaka atoa wito wa maendeleo eneo hilo

Lusaka ametaja miradi ya Maendeleo ambayo imezinduliwa awamu ya uongozi wa rais William Samoei Ruto k**a maendeleo kwa wakazi

Amewarai kuendelea kuunga Rais Ruto mkono kuwania Urais awamu ya pili ili kuhimarisha eneo hilo kiuchumi

17/09/2026

Tv

Wito wa Maendeleo Nchini

Rais William Ruto awarai wapinzani wake kujitenga na siasa za kupinga Maendeleo

Anamtaka ayelikua rais Uhuru Kenyatta kumpa wakati mwafaka kuwafanyia wakenya Maendeleo

17/09/2026
17/09/2026

Tv

Wakazi wa kaunti ya Bungoma wakiwemo wanachama wa mrengo wa Linda Mwananchi watoa wito kwa viongozi wao

Wanawarai viongozi hao wakiwemo Mbunge Babu Owino na seneta wa Nairobi Edwin W. Sifuna kushirikiana

17/09/2026

Tv

Wakazi wa eneo bunge la Kimilili kaunti ya Bungoma wanufaika na miradi ya Maendeleo ya Rais

Wamepongeza hatua ya Rais William Samoei Ruto kuboresha viwango vya afya eneo hilo

Hatua hiyo itawezesha wengi wao waliokuwa wakikumbwa na changamoto ya usafiri kutafuta huduma za afya

17/09/2026

Tv

Tumaini la Miradi ya Maendeleo Magharibi

Seneta wa kaunti ya Bungoma Hon. David Wakoli Wafula, CBS awarai wakazi wa eneo bunge la Kabuchai kuunga Rais William Samoei Ruto

Wakoli anasema mradi wa Hospitali ya 'level 6' eneo la Sichei inalenga kuhimarisha viwango vya afya kaunti hiyo

Hatua hiyo itaboresha maisha ya wagonjwa ambao wamekua wakusafiri mwendo mrefu kutafuta huduma hizo kaunti za mbali

Aidha, mradi wa soko la Chwele utaboresha viwango vya uchumi eneo hilo. Wafanyabiashara watanufaika na mazingira mema yakuendeleza biashara zao

Ujenzi wa barabara utawawezesha kusafirisha bidaa zao kufika sokoni bila changamoto yeyote

Hata hivyo, anasema iwapo rais Ruto atapewa awamu ya pili kuhudumu k**a Rais ataendeleza Miradi mbalimbali ya Maendeleo eneo hilo

16/09/2026

Tv

Rais William Ruto azindua miradi ya Maendeleo Kisumu

Address

Nairobi City
Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nalulingo Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category