Dáñçèhølïçs

Dáñçèhølïçs Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dáñçèhølïçs, Digital creator, Nairobi.

17/01/2024

out*
Part 1
Influencer Tony

Manze support this new story...like na u follow

After form four nangoja tu resulst alafu machogu akafanya ile kitu..😂 si mnajua.... tukangoja for long kila siku ni kushtuka ukiona breaking news unazima TV haraka...hii pande ingine marelative wananieka uoga....kwanza Kunasiku mzae alidhani results zilitumwa na Mimi nkaficha..... but finally results zikatumwa na mm hapo nkaangukia ka B con .. buda nmefurahia ntajoin atleast university atakama ntakuwa pasta.so nkaanzua ile plan yangu.👆👆.nkachapia mathe that nlikuwa nataka kuenda kukomboa keja after a spirited argument nkaingiza stori ya huku home tuschana tunanisumbua na pia staconcentrate vizuri. Ikifika stori ya masomo naye mathe hatakangi mchezo so teketeke akaniorganizia mboka hapo super form ndoa atleast nkue napata kakitu wa mathe hakuna anataka kunilipianga kila kitu alafu pia sjai kua poor in anything even in.🛌🛌..then tukaanza stori ya kuapply uni na juu grades zangu hazikua low nkapata kachance pale KU ndo nsomee computer science.....mathe akachapa geography yake haraka na akaona place angepata keja cheap na ni karibu na KU ni hapo Githurai si akabonga na maarif wake.... connection muhimu ....na nka....................suspense alert

thank you for reading my story tupatane another day....like and comment for more content.follow for pert 2

Address

Nairobi

Telephone

+254742643191

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dáñçèhølïçs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dáñçèhølïçs:

Share