Adizan Publishers

Adizan Publishers Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Adizan Publishers, Publisher, Nairobi.

Pata nakala yako kwa elfu kumi tu za Kitanzania Tamthilia ya mwanzo kuandikwa na Zainab  Alwi Baharoon. 10,000/= tuWalio...
29/02/2024

Pata nakala yako kwa elfu kumi tu za Kitanzania Tamthilia ya mwanzo kuandikwa na Zainab Alwi Baharoon. 10,000/= tu

Walio Kenya agiza kupitia 0783481531 au adizanpublishers.com kwa Ksh 350/= tu.

"Pengine ndiyo tamthilia ya Kifeministi zaidi kuwahi kuandikwa katika Kiswahili," ndiyo yaliyokuwa maoni ya msomi fulani...
29/02/2024

"Pengine ndiyo tamthilia ya Kifeministi zaidi kuwahi kuandikwa katika Kiswahili," ndiyo yaliyokuwa maoni ya msomi fulani maarufu na mhakiki wa kazi za kifasihi. Ni tamthilia ambayo mwandishi anatuachia swali ambalo twafaa kulijibu "Chozi la Mwanamke litakauli lini?"

Utangulizi umeandikwa na Profesa Clara Momanyi. Mtetezi wa haki za wanawake na mwandishi tajika wa kazi za kifeministi.P...
29/02/2024

Utangulizi umeandikwa na Profesa Clara Momanyi. Mtetezi wa haki za wanawake na mwandishi tajika wa kazi za kifeministi.

Pichani ni Profesa Clara Momanyi baada ya kupokea nakala yake.

29/02/2024

What's your favorite literature book (English or Swahili) and who is the writer. 📚

29/02/2024

What kind of books should we publish more (Fiction literature, non - fiction, self-help books, crime, fantasy, Historical or research based books)?

Mchango wa Adizan Publisher katika ufunzaji wa lugha ya Kiswahili Diaspora.
02/02/2024

Mchango wa Adizan Publisher katika ufunzaji wa lugha ya Kiswahili Diaspora.

20/09/2023

Address

Nairobi

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Adizan Publishers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category