30/08/2026
Siku hizi vijana hawana job, hawana doh. Hata kuafford mrembo ni ngumu, ku afford mrembo ni kali. Wanasema sasa bag ni ya nini? Ati sasa vijana wanaweza afford tu alele ndio mtoto wao kisha walale. Hivyo ndivyo tumefikishwa hapa Kenya" ~ MP Babu Owino