Kegogi Star TV

  • Home
  • Kegogi Star TV

Kegogi Star TV Welcome to Kegogi Star TV, your ultimate destination for captivating short films and gripping episodic series that reflect real life.
(3)

We bring you authentic storytelling focused on the everyday experiences, struggles, and triumphs of people in our society

Asante sana kwa wale waliosimama nasi kipindi kile tulipata matatizo kwa page yetu. Kwa mda wa miezi tatu iliyopita, tul...
04/09/2026

Asante sana kwa wale waliosimama nasi kipindi kile tulipata matatizo kwa page yetu. Kwa mda wa miezi tatu iliyopita, tulisuspendiwa kutumia jina la kampuni yetu KEGOGI STAR TV ila usiku wa leo tuna furaha sana kwa maana tumerejeshewa jina 💪💪💪💪
Kwanzia kesho tupatane field k**a kawa tumlike siasa na wanasiasa vilevile tupige story zinazotuhusu ndani ya SEMA NA ERION SHOW.

Tunakutakia usiku mwema 😘
04/09/2026

Tunakutakia usiku mwema 😘

Umewatch USALITI WA MAPENZI part 1?Ingia YouTube search Kegogi Star TV ujinice.
04/09/2026

Umewatch USALITI WA MAPENZI part 1?
Ingia YouTube search Kegogi Star TV ujinice.

Watu wanasema mapenzi ni Uhuru Park na suti kali, kumbe pia ni kuketi chini na beseni mbele ya keja. 😅 Baada ya makosa y...
04/09/2026

Watu wanasema mapenzi ni Uhuru Park na suti kali, kumbe pia ni kuketi chini na beseni mbele ya keja. 😅 Baada ya makosa yangu, boss wa nyumba amenipa assignment ya community service — kuosha vyombo nikiwa na supervision ya hali ya juu, hakuna viatu, hakuna excuses, ni kazi tu.

Lakini ukweli hakuna mahali pazuri k**a nyumbani. Asante mke wangu kwa kunisamehe na kunifundisha kuwa mume bora. Nimejifunza lesson, sahani zita-ng'aa k**a future yetu. ❤️

Sijui amepanga kuniadhibu hadi lini, ameniamsha hii asubuhi yote na kuniamrisha tuongozane mtoni wote, cha ajabu amekata...
04/09/2026

Sijui amepanga kuniadhibu hadi lini, ameniamsha hii asubuhi yote na kuniamrisha tuongozane mtoni wote, cha ajabu amekataa kubeba maji imenilazimu nibebe mwenyewe.

To my fellow men, let's be faithful to our wives.
Ujinga wangu wa usaliti ndio umeniletea hizi shida zote.

Kando na tofauti za kifamilia tunahitaji mapenzi yenu, ungependa kutuambia nini kabla tulale jamani.
03/09/2026

Kando na tofauti za kifamilia tunahitaji mapenzi yenu, ungependa kutuambia nini kabla tulale jamani.

Tamaa zangu za kijinga zimenifanya naishi maisha ya utumwa kwangu 😢  yaani kazi imekuwa ni kupembeleza mwanamke anisameh...
03/09/2026

Tamaa zangu za kijinga zimenifanya naishi maisha ya utumwa kwangu 😢 yaani kazi imekuwa ni kupembeleza mwanamke anisamehe.
Imefika hatua anataka nimshike mkononi k**a mtoto 😢

Ameamua kunipitisha ile njia niliyompisha, anajua kabisa mie si msanii lakini anataka nimtungie ngoma ya kutangazia ulimwengu kwamba yeye ndiye mama watoto.

NIMECHOKA MIMI!!!

03/09/2026

Maumivu ya usaliti ni makali kuliko maumivu ya ncha ya upanga

Umeona nani hapa?
03/09/2026

Umeona nani hapa?

03/09/2026

Hii imezidi haki, yaani kufanya kosa la usaliti limekuwa kubwa zaidi ya kosa la mauwaji?? Hapa itabidi kila mmoja afanye na kuishi maisha yake. Link iko kwa comment ingia youtube uone yote.

Address

Kisii

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kegogi Star TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kegogi Star TV:

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share