01/02/2026
Who else is like me? Mimi kazi ikiwa chini niuze pesa kidogo nakulanga hiyo pesa yote sometimes ata azifikangi nyumbani. Hiyo pesa kidogo nitajispoil nayo nikijiambia nashikanga pesa na ata sijawai jibaia kitu flani naonanga nitumie yote iishe nianze fresh saiyo ata nikikutana na mtu atakunywa soda ya 50 ama mwala. alafu ile siku nimeuza vizuri😂nakuanga very carefull with the way i spend ata maindi ya ten bob kwa barabara siwezi nunua😂😂. Naonanga nikinunua nunua vitu pesa zitaisha araka😂😂😂😂😂
Msiseme ni poverty mentality wadau.
Alafu mjue k**a uko na shop ama cosmetic perfume hukaa vuzuri and attractive zikiwa kwa display bottle. ..