Mzalendo Tosha

Mzalendo Tosha .respect
Never give up
Self respect
God first ✍️✍️✍️

Other tribes😂wakiwa wageni church 😳praise God I'm Peter omondi nashukuru sans kuja Leo ntakua nashiriki na nyinyi asante...
21/07/2026

Other tribes😂wakiwa wageni church 😳praise God I'm Peter omondi nashukuru sans kuja Leo ntakua nashiriki na nyinyi asanteni🙏🙏
Waluhya:pwana yezu asifiwe😃 hallelujah 🤭 pastor, bibi ya pastor pokeeni salam za mungu🙏mama assembly na bwana yake nawasalimu😳decon na mabibi zao pokeeniko Salam 😂map**i na mapwana vichana na wasijana nawasalimu katika china la yesu😂 mm ndo ule kondoo aliyepodea hallelujah hallelujah hallelujah 🤭 nmekuchako na p**i yangu epu mama cheyten simamako usalamieko kanisa😅uyu ndo eve wangu hallelujah 😂🤣🤣 nlkua nmelala usiku nkaona yesu kwa ndoto akiniambia nkuche kanisani alleluhya😂😂 pastor nmeacha pombe kapisa nataka kutumikia huyu yesu hallelujah hallelujah 😹😂😂 ata shosho wangu mwenye alkufa nkiwa miezi mbili nilimwona ndotoni akiniita tomini tomic mchukuu wangu enda kanisani hallelujah hallelujah 😹😂tusimame tuimbe🤣🤣
Na msitushangae sana tunakuaga TU ivi waluhya😂😹😹

😂😂 Kuna time madhe alinituma nikanunue mafuta taa ya KSh 10... 🏃🏾‍♂️🛢️Mtaa wetu kulikuwa na options mbili. 🤣🏪 Duka la ka...
21/07/2026

😂😂 Kuna time madhe alinituma nikanunue mafuta taa ya KSh 10... 🏃🏾‍♂️🛢️

Mtaa wetu kulikuwa na options mbili. 🤣
🏪 Duka la karibu ambapo KSh 10 ilikuwa inajaza nusu tu.
🛢️ Halafu kulikuwa na shop nyingine mbali kidogo ambapo KSh 5 ilijaza kiasi kilekile. 😅

Mimi k**a mtoto wa hesabu za ujanja nikasema, "Acha niende huko mbali, ninunue mafuta ya KSh 5 halafu hii KSh 5 iliyobaki nijibambe nayo." 😂😂

Sasa ujinga ulianza hapo... 🤦🏾‍♂️🤣

Nikafika njiani nikashawishika na balloon. 🎈😂 Nikaitumia ile KSh 5 yote! 😭

Kufika kwa yule wa mafuta taa... nikagundua pesa imebaki KSh 5 tu. 😭😂 Nikalazimika kununua mafuta ya KSh 5, ambayo ilikuwa kidogo sana. 🛢️🥲

Nilipofika home... 😭😭

Madhe hakuniuliza hata maswali mengi. Alinifunika kofi ya slipper usoni mpaka nikahisi boxer imejichora yenyewe! 🩴😂😂💀

Najua mnasema ningekimbia... Lakini nikimbie niende wapi? 🤣🤣 Ile siku tulikuwa tumenunua samaki! 🐟🍽️ Nililia nikiwa ndani ya nyumba nikingoja nipigwe tena ama nile samaki. 😂😂😂

👇 Sasa niambieni, ni ujinga gani uliwahi kufanya ukiwa mtoto ukala kichapo cha kukumbuka hadi leo? 😂😂👇

🤣🤣🤣🎈🛢️🩴🐟💀😭❤️

😂😂 Please, k**a tulikuwa tunajua mnadate, mkiachana pia mtuambie basi! 😭💔Si ni nyinyi wenyewe mlitangaza mapenzi yenu ha...
21/07/2026

😂😂 Please, k**a tulikuwa tunajua mnadate, mkiachana pia mtuambie basi! 😭💔

Si ni nyinyi wenyewe mlitangaza mapenzi yenu hadharani? 😅 Sasa mkiamua kila mtu ashike njia yake, msituache tukifanya uchunguzi k**a DCI. 🕵️‍♂️😂

Ama mnataka mimi ndiye nitoe breaking news? 📢🤣 Nikianza kusema, nitataja kila kitu... na makosa ya kila mmoja pia! 😭😂

🤣🤣🤣💔🍿☕️

Tag huyo rafiki ambaye hupenda kufuatilia drama za mahusiano! 😂👇

20/07/2026

Unampenda naye hakupendi

kuna mtu aliniuliza kwa nini siendagi church, nikamwambia mimi najua mungu,namuomba,but kanisa siendagi, akaniuliza kwa ...
20/07/2026

kuna mtu aliniuliza kwa nini siendagi church, nikamwambia mimi najua mungu,namuomba,but kanisa siendagi, akaniuliza kwa nini,listen,unaona hizi church kubwa na za kitambo,they can drain your pocket, unatoa sadaka,unatoa fungu la kumi,etc,but ikifika kuna projects za church k**a kupaka rangi,unaskia kuna harambee,unapewa kadi ya 5k,bibi kadi ya 3k,watoto kila mmoja kadi ya 1k,ajabu you're the only person working in that family so pesa yote inatoka kwako,nikauliza mbona watu wakitoa sadaka na fungu la kumi some percent iwe inawekwa ya maintenance, nikaambiwa niko na siasa,ajabu hiyo church iko na private school na hospital ambayo hata siwezi afford, na bado mnaambiwa kuna shopping mchungaji, sasa cha ajabu ni kwamba ata kubatizwa unalipa,mtu wenu akikufa ndio ibada ifanywe unalipa,alaa,nikauliza kwani kanisa itanisaidia lini?that's why I pray at home, what is your experience, talk to me

unasaidia mtu keja vizuri alafu unapata wamekula Avacado zako😭😭😭😭
20/07/2026

unasaidia mtu keja vizuri alafu unapata wamekula Avacado zako😭😭😭😭

19/07/2026

In marriage you can quickly move from 'babe' to 'watu wengine kwa hi nyumba'🤣🤣

Nowadays madem pia wanakutumia na wanakuacha💔🤔🙆 be careful🫣💔
19/07/2026

Nowadays madem pia wanakutumia na wanakuacha💔🤔🙆 be careful🫣💔

Type of lazy women 👇1..Hawa wakukaa Kwa salons na hawajui ata kusuka..umbea..lazy🧐2.. Mwanamke anaamka kuwatch movie ya ...
19/07/2026

Type of lazy women 👇

1..Hawa wakukaa Kwa salons na hawajui ata kusuka..umbea..lazy🧐

2.. Mwanamke anaamka kuwatch movie ya Nigeria.. failure..🧐

3... Mwanamke anakaa Kando ya kibanda wenzake wakiuza yeye ni kudiscus maisha ya watu.. failure..🧐

4..Mwanamke anaamka saa tatu morning na alilala saa mbili jioni .. failure 🧐

5..Hawa wakulala na wazee ata kuliko baba zao..hio ni njaa.. failure 🧐

6..Hawa wakuvaa socks, croaks na hood na remote. ukiwaambia muende hustle anasema Kuna kitu anangoja.. failure 🧐

7..Wakushout I can't date a broke man na anatype na simu ya Neon Ray..na anaishi Kwa bro ama sis na ama Kwa aunt Hana job. failure 🧐

8.. wasichana wa kujisifu na Mali ya wazazi na wamezalia home.. Failure 🧐

9..Hawa wenye mkikosana kidogo anakwambia..utajua babangu ni nani na ni mlevi vitisho baridi. Failure 🧐

10..Mwanamke analala mchana...alafu jioni anaanza kukimbizana na mavyombo .. vitina.. failure 🧐

11.. WanaWake wakiona Dem mwenzao na nguo alafu waskie bei..wanasema siwezi nikabuy nguo kaa hii na Hana pesa ...wivu failure 😂😂

Nashangaa mbona pesa haiishi kumbe nimetumia landlord 350/- badala ya 3500/-🤣😂😂😂guys nikubaya
18/07/2026

Nashangaa mbona pesa haiishi kumbe nimetumia landlord 350/- badala ya 3500/-🤣😂😂😂guys nikubaya

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mzalendo Tosha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share