Team Sisi Kwa sisi

Team Sisi Kwa sisi This is not official Team Sisi Kwa sisi page

But I always like how Erick supports people's
(1)

24/02/2026

In Kenya which is the currently best radio station know??

24/02/2026

Masaa ni ya kupata followers weka page Yako hapa tukufollow ๐Ÿ“Œ
Follow for follow โœ…

Kati ya Oburu Odinga na Edwin Sifuna nani akona power Kwa chama cha ODM
24/02/2026

Kati ya Oburu Odinga na Edwin Sifuna nani akona power Kwa chama cha ODM

Hakuna mkenya yeyote atapita hii picha ya Edwin Sifuna bila kulike โœ… let's show him more love by liking this photo UpTo ...
24/02/2026

Hakuna mkenya yeyote atapita hii picha ya Edwin Sifuna bila kulike โœ… let's show him more love by liking this photo UpTo 100k likes โค๏ธโค๏ธ

Na huku luo nyanza Ruto ndio alikuwa anategemea support Kwa wingi sana enyewe wantam is inevitable
24/02/2026

Na huku luo nyanza Ruto ndio alikuwa anategemea support Kwa wingi sana enyewe wantam is inevitable

Ni uchungu sana kuona Wanafunzi kumzika mwenzao๐Ÿ’”๐Ÿ˜ญ Ukiwa Online chukua sekunde kutype Sorry ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’”
24/02/2026

Ni uchungu sana kuona Wanafunzi kumzika mwenzao๐Ÿ’”๐Ÿ˜ญ Ukiwa Online chukua sekunde kutype Sorry ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’”

Hii story imeniuma sana tangu juzi!๐Ÿ’”๐Ÿ˜ญ.Bro Joseph Ongeri(Toto Madollar) anatupiga ma advice then anajipea ticket ya Sayun...
24/02/2026

Hii story imeniuma sana tangu juzi!๐Ÿ’”๐Ÿ˜ญ.Bro Joseph Ongeri(Toto Madollar) anatupiga ma advice then anajipea ticket ya Sayuni juu ya stress๐Ÿ˜ข, story yake ni hii.
Alikua ameoa,wakafanikiwa kupata mtoto msichana kwa jina Cindy, kwa bahati mbaya, bibi yake akampata na Sidechick.Katika hali ya hasira, alirudi kwao akamuachia mtoto.vile side chick alikuja waishi, ilibidi amepeleka mtoto kwa sister yake.
Juzi, huko kwa sister yake, moto ulishika nyumba usiku ambapo ilichoma sister yake, watoto wake wawili pamoja na wake๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ˜ข.Hivo ndio alipoteza Cindy,na uchungu zaidi ,Baby mama akaenda kudate beshte yake. Juu ya msongo wa mawazo, jamaa alijikatia ticket ya Sayuni๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ˜ข. RIP.

K**a bado HUJALALA na umeona hii post hebu nisalimieni watu wangu๐Ÿ’ฏ
23/02/2026

K**a bado HUJALALA na umeona hii post hebu nisalimieni watu wangu๐Ÿ’ฏ

"Hide my ID please.""K**au ni chali yangu na he is living with HIV. In the heat of the moment, tulisahau kutumia condom ...
23/02/2026

"Hide my ID please."

"K**au ni chali yangu na he is living with HIV. In the heat of the moment, tulisahau kutumia condom time ya mechi jana. He told me not to worry coz yeye ni untransmittable. Niko na swali, when someone living with HIV says yeye ni untransmittable, anamanisha nini? Should I trust him ama niende hosi?"

ATTENTION!!! ATTENTION!!!!! ATTENTION!!!!!!! Wagapi wanatumia hii kufuli niwaaambie kitu ๐Ÿค”๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
23/02/2026

ATTENTION!!! ATTENTION!!!!! ATTENTION!!!!!!!

Wagapi wanatumia hii kufuli niwaaambie kitu ๐Ÿค”๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Huyu jamaa alifanya kazi mzuri sana wakati alikuwa minister of Education ilikuwa kusema na kutenda , comment siwe fupifu...
23/02/2026

Huyu jamaa alifanya kazi mzuri sana wakati alikuwa minister of Education ilikuwa kusema na kutenda , comment siwe fupifupi unamkumbukia ni ni??

23/02/2026

k**a punch inaeza kusaidia Kaa super ya Leo weka Number

Address

Kenya
Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Team Sisi Kwa sisi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share