Ikoomi Tv Kenya

Ikoomi Tv Kenya The Online Media You Can Trust LIKE AND SHARE OUR PAGE

08/10/2025

Katumbi amevaa kama pilot leo☺ twi vaa Captains lounge kusupport simba jike we wiva tukethanie🤝

Mwanamuziki maarufu wa Benga, Ken wa Maria, anatarajiwa kutunukiwa nishani za heshima za EBS na HSC wakati wa sherehe za...
08/10/2025

Mwanamuziki maarufu wa Benga, Ken wa Maria, anatarajiwa kutunukiwa nishani za heshima za EBS na HSC wakati wa sherehe za Mashujaa Day mwaka huu zitakazofanyika katika uwanja wa Ithookwe, Kaunti ya Kitui.

Nishani za EBS na HSC ni miongoni mwa tuzo za juu zaidi zinazotolewa na Rais wa Kenya kwa watu waliochangia pakubwa katika maendeleo ya taifa. Tuzo hizi hutolewa kwa watu walioonyesha uzalendo, uongozi bora na ubunifu katika nyanja mbalimbali kama vile muziki, michezo, utumishi wa umma na maendeleo ya jamii.

Kutambuliwa kwa Ken wa Maria ni ishara ya mchango wake mkubwa katika kukuza muziki wa Kenya na kuendeleza utamaduni wa Wakamba kupitia sanaa yake.

Felix Mambo, amepata afueni baada ya mahakama kutupilia mbali ombi la Gavana wa Machakos, Wavinya Ndeti, lililotaka anyi...
08/10/2025

Felix Mambo, amepata afueni baada ya mahakama kutupilia mbali ombi la Gavana wa Machakos, Wavinya Ndeti, lililotaka anyimwe dhamana katika kesi inayoendelea dhidi yake.

Wavinya Ndeti alikuwa amemshtaki Mambo kwa madai ya kumchafulia jina mtandaoni na aliomba mahakama imzuie kuachiliwa kwa dhamana, akidai kuwa anaendelea kumharibia sifa kupitia mitandao ya kijamii.

Hata hivyo, mahakama ilisema Mambo ana haki ya kupewa dhamana, ikisema hakuna sababu ya kumzuilia, na hivyo ikatupilia mbali ombi la gavana huyo.

Felix Mambo ametangaza kuwania kiti cha ubunge katika eneo bunge la Mavoko na amekuwa akiendeleza kampeni za kukosoa serikali ya Machakos.

07/10/2025

Kithungo Raha Maima amefika Pipeline. Kamba festival road show

07/10/2025

Utawala Kamba Festival tumefika. Mko wapi

07/10/2025

Chris Ndonye amefika. Kamba festival road show itakuwa kubwa. Tunakuja hapo kwenu mko wapi

Rick Be Tv, Nicholas Kioko , Katumbi

07/10/2025

Kithungo Raha Maima amefika. Kamba festival road show itakuwa kubwa. Stay tuned tunakuja kwenu.

Rick Be Tv , Nicholas Kioko, Katumbi

WAVINYA NDETI & FELIX MAMBO IN COURT.Felix Mambo akiandamana na wakili wake amewasili katika Mahakama ya Mavoko kwa kesi...
07/10/2025

WAVINYA NDETI & FELIX MAMBO IN COURT.
Felix Mambo akiandamana na wakili wake amewasili katika Mahakama ya Mavoko kwa kesi inayomkabili, baada ya Gavana wa Machakos, Wavinya Ndeti, kumfungulia mashtaka kwa madai ya kumchafua jina mtandaoni.

Benga artist Kativui, has been spotted inside a plane in a viral photo circulating online, leaving many of his fans wond...
06/10/2025

Benga artist Kativui, has been spotted inside a plane in a viral photo circulating online, leaving many of his fans wondering where he’s flying to.

Where do you think Kativui is travelling to?

📸 courtesy of: Kamba Nation Tv

Wacha tuone mafans wa Katombi. Wagapi wataenda Kamba Festival kwa sababu yake🙋‍♂️🙋‍♀️Kamba festival itakuwa Machakos Gol...
05/10/2025

Wacha tuone mafans wa Katombi. Wagapi wataenda Kamba Festival kwa sababu yake🙋‍♂️🙋‍♀️

Kamba festival itakuwa Machakos Golf Club this month date 18.

Katombi fans mko wapi ama hamkuji tena😌

Rick Be Tv, Nicholas Kioko

05/10/2025

Kamba Festival Masekete Rick Be na Nicholas Kioko wameland Mombasa kutangaza Kamba Festival.

Imebaki siku 13.

Kama hujanunua Ticket nunua mapema.

KALONZO: Nashukuru Ruto kwa kujenga stadium na State lounge Kitui. Hii ndio maendeleo nimeishi kusukuma ikuje nikiwa na ...
05/10/2025

KALONZO: Nashukuru Ruto kwa kujenga stadium na State lounge Kitui. Hii ndio maendeleo nimeishi kusukuma ikuje nikiwa na Raila.

Address

Nairobi
00232-RUIRU

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ikoomi Tv Kenya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ikoomi Tv Kenya:

Share