Utata wazunguka kutimuliwa kwa Ezekiel Mutua k**a afisa mkuu mtendaji wa KFCB baada yake kufahamu kufutwa kwake huku akiendelea na hafla.
Ezekiel Mutua anahusishwa na sakata ya ulipaji wa mishahara na marupurupu katika bodi hiyo.
Christopher Wambua kutoka mamlaka ya CAK amechukua wadhfa huo k**a kaimu afisa mkuu mtendaji.
04/08/2021
Mapenzi kikohozi...Nadia Mukami na Arrow Bwoy wapata dozi.
02/08/2021
Je, Wajua?
28/07/2021
Je, Unamfahamu kiongozi huyu?
24/07/2021
Msanii Moussa Sandiana Kaba, jina maarufu 'Grand P' amepata mchumba mwingine muda mfupi baada ya kuachana na kipusa wake wa muda mrefu Eudoxie Yao. Imebainika kuwa Grand P amemtema Eudoxie ambaye hufahamika k**a Kim Kardashian wa Afrika.
21/07/2021
Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Freeman Mbowe ametiwa nguvuni na maafisa wa polisi akiwa katika chumba chake katika hoteli moja jijini Mwanza, Tanzania.
Mbowe alik**atwa alipokuwa akihudhuria mkutano wa chama chake cha Chadema.
Polisi hawajatoa sababu za kuk**atwa kwake.
21/07/2021
Ndege inayoendeshwa na kampuni ya Skyward Express yaanguka katika kaunti ya Mandera.
Ndege hiyo imeanguka katika mpaka wa Kenya na Somalia.
Hakuna ripoti za moja kwa moja kuhusu majeruhi japo imeripotiwa kuwa abiria wachache wamepatwa na mshtuko baada ya kunusurika kifo.
Be the first to know and let us send you an email when Sauti posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.