
21/02/2024
Wabebe mziki ni dawa
DAH! NANDY ANAJUA
Haikuwa kazi rahisi Nandy kuidhibiti mapozi ya Diamond. Nandy anajua njia za muziki, anajua namna Diamond anavyofanya muziki.
Angeweza kuacha wimbo wa Dah! remix uende wenyewe Ila amejitahidi kuwekeza nguvu kwenye promotion katika mtandao wa YouTube.
Nandy ni mbishi na mpambanaji, kila Mtihani anaopitia utafuta ufumbuzi wa haraka zaidi. Kupitia Nandy unaweza kuona muziki mwepesi kumbe una changamoto zake.
Changamoto za kimuziki kwa watoto wa k**e zimeua vipaji vingi na kumuacha Nandy akipambana.
Mwepesi kujifunza na kufanya mabadiliko ya kimuziki. Nandy huchukua changamoto k**a njia ya kujiimarisha.
Nandy mapambano ya kimuziki anayeweza, Nandy anajua.