Kamba Nation Tv

  • Home
  • Kamba Nation Tv

Kamba Nation Tv Go geter

29/10/2025

Amkeni Tanzania wanachoma nchi yao usiku.

29/10/2025

Tanzania wanaendelea na maandamano usiku

29/10/2025

Wah🤔 Wananchi wamechoma vituo vya kupigia kura Tanzania

29/10/2025

Wanajeshi wa Tanzania wameonya polisi wasiwaumize wananchi wakati wanafanya maandamano Tanzania.

29/10/2025

NO ELECTION IN TANZANIA🇹🇿 Wananchi wameamua.

29/10/2025

Polisi Tanzania wana kibarua kizito kuwatawanya waandamanaji ambao wamejaa sehemu tofauti jijini Dar es salaam.

29/10/2025

Jamaa mzungu ambaye alinaswa na camera akimpaka askari makamasi kwa madharau Mombasa anarudishwa kwao.

29/10/2025

MAANDAMANO MAKUBWA YAZUKA TANZANIA SIKU YA UCHAGUZI

Maandamano makubwa yameripotiwa kuzuka nchini Tanzania leo, ikiwa ni siku rasmi ya uchaguzi mkuu. Tukio hilo limechochewa na hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kumfungia gerezani mpinzani wake mkuu, Tundu Lissu, hatua ambayo imezua hasira na taharuki miongoni mwa wananchi.

Kwa mujibu wa vyanzo vya habari nchini humo, wananchi wanasema kitendo hicho ni njama ya kuzuia ushindani wa kweli wa kisiasa, huku wakidai kuwa Rais Samia sasa hana mpinzani wa moja kwa moja katika kinyang’anyiro hicho.

Waandamanaji wanaitaka Tume ya Uchaguzi kusitisha uchaguzi huo hadi haki na uwiano wa kisiasa urejeshwe nchini humo. Hali ya usalama imeendelea kuwa tete katika maeneo kadhaa ya Dar es Salaam na Dodoma, huku polisi wakilinda maeneo muhimu ya serikali.

Follow Kamba Nation Tv

28/10/2025

Huyu jamaa anatokea Kitui amepatikana hapa Nairobi. Amekaa miaka nyingi bila kukata kucha.

28/10/2025

Maxwell Mwalimu ametoa ngoma mpya.

28/10/2025

Oga Obinna arriving at Kimani Mbugua burial

28/10/2025

Mike Sonko amefika. See how Mike Sonko arrived in the burial of Kimani Mbugua

Address


00100

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kamba Nation Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kamba Nation Tv:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share