Barizi Na Waumini

Barizi Na Waumini - Evening Drive Show 4PM-8PM Barizi na Waumini- Drive show at Radio Waumini 88.3Fm Catholic Radio Station

29/05/2024

Endapo utamtumaini Mungu siku zote hakika utauona wema wake maishani mwako!
# 𝐁𝐚𝐥𝐨𝐳𝐢𝐖𝐚𝐒𝐭𝐮𝐝𝐢𝐨 𝐉𝐞𝐧𝐧𝐲 nawakilisha unawakilisha wapi?
# 𝐁𝐚𝐫𝐢𝐳𝐢𝐍𝐚𝐖𝐚𝐮𝐦𝐢𝐧𝐢 -8pm

Tears may endure for a night but joy comes in the morning
29/05/2024

Tears may endure for a night but joy comes in the morning

Je,Yosefu alikaa ndani ya shimo maisha yake yote? La!
Je,Shadraki,Meshaki, Abednego walikaa kwenye tanuru la moto maisha yao yote?La!
Je,Bartimayo alibaki kuwa kipofu maisha yake yote?La!
Nawe pia hali yako ni ya muda tu kamwe hutabaki jinsi ulivyo maisha yako yote!
Niite # 𝐁𝐚𝐥𝐨𝐳𝐢𝐖𝐚𝐒𝐭𝐮𝐝𝐢𝐨 𝐉𝐞𝐧𝐧𝐲 uko tayari kuwakilisha?
# 𝐁𝐚𝐫𝐢𝐳𝐢𝐍𝐚𝐖𝐚𝐮𝐦𝐢𝐧𝐢 -8pm

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Barizi Na Waumini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share