Prince Hunter

Prince Hunter Prince Leonard󱢏
|Songwriter |Entrepreneur|Businessman |Dreamillionaire
(30)

Vijana wazee wanasema mwache pombe😅😂... Eti ii kupelekwa rehab juu ya pombe haimake sense, k**a pombe inakushinda Wacha😂...
10/08/2026

Vijana wazee wanasema mwache pombe😅😂... Eti ii kupelekwa rehab juu ya pombe haimake sense, k**a pombe inakushinda Wacha😂😂

Lakini Enyewe vijana mko idle sana naskia pale North Wales Kuna chaji amejivaa k**a grib reaper na kupanda kwa roof us h...
06/08/2026

Lakini Enyewe vijana mko idle sana naskia pale North Wales Kuna chaji amejivaa k**a grib reaper na kupanda kwa roof us hospitali akiangalia tu wagonjwa, naskia wengine walikuwa wanadhani wameconnect WiFi ya sayuni na wakaenda jehanamu kwa Shetula aka the Shy-tan,
Later on Chaji was taken to court and he insisted that his costume was supposed to represent a crow not a grim reaper 😂.
kwani huku nje mnavuta mambo gani.

Nioe nikuzalie vs nizalie nikuoe😂.
06/08/2026

Nioe nikuzalie vs nizalie nikuoe😂.

Kuna millenial Ako apa anataka tu Ngoma za raki dube, amesema anataka Ngoma ziko na message, hizi zingine ni kelele tu.....
04/08/2026

Kuna millenial Ako apa anataka tu Ngoma za raki dube, amesema anataka Ngoma ziko na message, hizi zingine ni kelele tu...

Pale tao scene uwanga vulai, ukiona mtu anakufuata mikono nyuma..Anza kujipanga , cos iyo ndo inaweza kuwa mara yako ya ...
22/07/2026

Pale tao scene uwanga vulai, ukiona mtu anakufuata mikono nyuma..Anza kujipanga , cos iyo ndo inaweza kuwa mara yako ya kwanza kuona tenje yako ...
ni mbaya wallahi.

Sasa pale ghetto bhana mambo ilichemka, ofisa aliingia area tofauti na kushika jango flani..ilibidi ofisa aseme pole wee...
19/07/2026

Sasa pale ghetto bhana mambo ilichemka, ofisa aliingia area tofauti na kushika jango flani..
ilibidi ofisa aseme pole weeh..ni noma
kumbe Kuna ghetto hazijui serikali😂wanaishi tu

Vijana kila siku tunaamka kupambana, tukiomba kila siku madeals ziivane.
17/07/2026

Vijana kila siku tunaamka kupambana, tukiomba kila siku madeals ziivane.

Sasa pale Sayuni headquarters, Sayuni radar imeshika sijui nani uyo, ameenda kwa mganga na kuku mbili apewe Audi.,Vitu z...
15/07/2026

Sasa pale Sayuni headquarters, Sayuni radar imeshika sijui nani uyo, ameenda kwa mganga na kuku mbili apewe Audi.,Vitu zingine mnafanya zinashangaza mungu baba..

Kuna morio wangu flani anaitwa mogutu, uyo msee alikuwa ananishow anataka kuuza macho Moja 1 mirrion na  avae eye patch ...
14/07/2026

Kuna morio wangu flani anaitwa mogutu, uyo msee alikuwa ananishow anataka kuuza macho Moja 1 mirrion na avae eye patch k**a r***r 😂mi nilishangaa sana😂😂

Lakini ambieni Hawa watu wa Boda Boda, uwa hatuwaskii tukiwa uko nyuma.. Kuna mwingine ashawahi nipigia story, nilikuwa ...
13/07/2026

Lakini ambieni Hawa watu wa Boda Boda, uwa hatuwaskii tukiwa uko nyuma..
Kuna mwingine ashawahi nipigia story, nilikuwa nasema tu eeh,..Nikishangaa k**a naskia, kumbe jamaa Ako story zingine...ile upepo ukuja uko nyuma uwanga balaa😂,

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prince Hunter posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Prince Hunter:

Shortcuts

Share