
12/07/2025
💖 STELLA 💖
🧑🏽🦰
🎬Part 10
Nilianza kujiuliza sa tunaenda wapi🤔🤔..Tina alikuwa anaongea na Stella wakicheka na me nimetulia tu hapo nyuma ya gari pekeangu😂😂..Baada ya Dakika chache Gari lilisimama..azin tina akapark gari pale kando ya njia tukiwa tu town but sasa sikujua penye tulikua🥺🥺azin tulikuwa place sijawai fika..
Tina na Stella walishuka kwa gari then Nikafunguliwa mlango pia mimi nikashuka kisubmarine🥳🥳..Tina alinishika mkono tukaingia kwa club fulani ilikuwa pale kando😳😳. nikashangaa hawa wanaenda Club tena na Stella ndio ametoka tu hosc sai😂😂💔.. Zilikuwa saa sita za mchana. niliamuwa liwalo na liwe kisubmarine tukaenda na Tina huku Stella ametufwata nyuma hadi ndani ya hiyo club.. hapo ndani kulikuwaa kumewekwa loud music na pia lights zilikuwa zinawaka blue😳😳..(discolight)ukiwa huko ndani ungedhani ni usiku kumbe ni mchana😂😂..
watu walikua wameketi wakijinice na pombe na drinks zingine then watu wengine walikuwa wanadance🦸🏿♀💃🕺..kwanza kulikuwa na dem mmoja mnono hapo alikuwa akidance na amevaa tu panty pekeake😁😳🙄..Nilimwangalia kisubmarine nikajiuliza sasa huyu wazazi wake wako hai kweli🤔🙄?
Tulienda na tina wangu tukaketi pale kwa counter🤗🤗 Stella aliketi kando yangu but mbali kidogo na sisi..Tina aliangalia weita then akapoint chupa fulani KUBWA ilikuwa pale akaambia huyo weita""ebu tupatie hizo mizinga chupa mbili🤗"" mimi sikujuwa mizinga ndio nini😂nilikuwa najuwa tu mzinga ya kuvuga nyuki🙄.but hata hivo nilikuwa sure tina anabuy p@mbe coz tulikuwa kwa club...
Weita alileta hiyo p@mbe na glass akaweka hapo..Tina akachukuwa chupa moja🍾akagonga nyuma🫴then akafunguwa akanimwagia yangu kwa glass.akamwagia Stella then pia akajiwekea yake😁..Kabla tuanze kukunywa Tina akapigiwa simu😳so ikabidi atuache hapo na Stella akatuambia "kiasi tu narudi"then akatoka inje🙄🙄..vile Tina alitoka inje me nae nikazubaa kidogo nikiangalia vile watu wanadance kisubmarine 🤗🤗Kugeuka nikaona Stella nik**a alikuwa anaweka kitu kwa p@mbe ya Tina😳😳 Stella alishtuka then akajifanya nik**a hakuna kitu amekuwa anafanya😁😁...mara hiyo hiyo Tina akarudi.........✍️
🔥🔥🔥cheza na like💥💥 mnipee 200+ next part loading