Mwenda TV JICHO PEVU

Mwenda TV JICHO PEVU SOCIAL MEDIA TV ,documentaries scripting and production advertisement.

31/05/2025

favoulight comprehensive school

30/05/2025

Afisa wa polisi kutoka Kaunti ya Nairobi alipata aibu kubwa baada ya kula mayai yaliyochemshwa kando ya barabara na kisha kukataa kulipa. Kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwepo eneo hilo, afisa huyo alikula mayai hayo mawili na alipodaiwa kulipa shilingi 30, alijibu kwa dharau akisema kuwa hiyo ni "kodi ya serikali" na kwamba haipaswi kulipa.

Kauli hiyo iliwakasirisha wananchi waliokuwa karibu, ambao waliamua kumlazimisha afisa huyo kutoa pesa taslimu. Wakazi hao walimzingira na kushinikiza alipe gharama ya mayai aliyokula, wakisema kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria, hata k**a ni afisa wa usalama.

Hatimaye, baada ya presha kubwa kutoka kwa umma, polisi huyo alilazimika kuchomoa shilingi 30 kutoka mfukoni na kumlipa muuzaji mayai. Tukio hilo limeibua mjadala mitandaoni kuhusu matumizi mabaya ya mamlaka na tabia za baadhi ya maafisa wa polisi, huku wengi wakitaka hatua zichukuliwe ili kuimarisha maadili ya utumishi wa umma.

FOLLOW SOS TV✅️💯🔥

FOLLOW SOS TV✅️💯🔥


26/05/2025

Support

21/03/2025

BREAKING NEWS ! ONE OF THE RESIDENT IN TASSIA WITHIN EMBAKASI CONSTITUENCY NAIROBI,HAS COMMITTED SU***DE AT AROUND 12:30PM IN DONHOLM FACE 8......

15/11/2024
08/11/2024

Jicho pevu part 1

06/11/2024

JICHO PEVU IS BACK

26/10/2024

Stay tune .UKAMIAJI WA MAUWAJI YA GEB Z
coming SOON

Address

332-0100
Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwenda TV JICHO PEVU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category