
09/10/2024
Mizani ni tamthilia kuhusu Mkwasi, mkewe Raufu
pamoja na wanao (Nuru na Nuria). Wahusika hawa wanatofautishwa na imani zao. Mikondofikira na matamanio ya wahusika wakuu yanakinzana k**a usiku na mchana. Mahusiano yao ya kijamii yanayumbishwa na utofauti wa imani na tamaduni.