
04/08/2025
https://www.facebook.com/share/p/1GcdxsN1cq/
The government should stop funding the NGCDF projects and fully fund for free education system,lakini hawawezi fanya hivo ,wanajuwa hapo ndio wanajishikia ndio mwananchi wa kawaida ajione dhaifu ili kuwategemea kwa mambo ambayo ni wazi hatufai kulipia
Watu wanaumia kuishi maisha sio yao.
Ma MCA wa Vita
Wabunge ni wa Kulipwa
Senators,Wamefinywa
Ma CS wametumwa
K**a hawa uliowatapuwa wamegeuzwa punda
Itakuwaje wewe fundi mjenga ukuta kumbuka una Kura
Na baada ya Miaka tano hawa nguruwe hawataruka
Jenga ukuta kabla kujenga nyumba
Ogopa dereva wa Punda 🇰🇪