Captain Nyota Tv

Captain Nyota Tv Gossip. Entertainment. News. Lifestyle

19/08/2025

10/06/2025

Follow for more!

03/06/2025

Uongozi mpya wa msanii Ibraah_tz hii hapa team nzima.

HARMONIZE Akiwa Na Manager Wake CHOPPA TZ. Leo mpe ushauri mmoja Choppa amshauri KondeBoy!
28/03/2025

HARMONIZE Akiwa Na Manager Wake CHOPPA TZ. Leo mpe ushauri mmoja Choppa amshauri KondeBoy!

Penzi laota tena!
10/03/2025

Penzi laota tena!

"WATU WAZIM" WAMETOA TAARIFA RASMI - EXCLUSIVE!Interview: (https://youtu.be/X_VRvDWBU38)Kundi la muziki la Watu Wazim li...
09/02/2025

"WATU WAZIM" WAMETOA TAARIFA RASMI - EXCLUSIVE!
Interview: (https://youtu.be/X_VRvDWBU38)

Kundi la muziki la Watu Wazim limetangaza kuachia kazi mpya wiki hii, ikiwa ni ujio wao wa pamoja baada ya muda. Wimbo huo unawahusisha wasanii Master Watu Wazim na , ambao wanatarajiwa kuleta ladha mpya kwa mashabiki wao.

Watu Wazim walivuma kwa nyimbo kali k**a Zinduka na Twawangoja, ambazo ziliwapa umaarufu mkubwa. Mashabiki wao sasa wanasubiri kwa hamu kuona mwelekeo mpya wa muziki wao katika kazi hii inayokuja. 🚀🎶
Wasikilize hapa https://youtu.be/X_VRvDWBU38

Follow Captain Nyota Tv for daily updates🙏🙏👌💪

Mbosso Aaga Rasmi WCB Wasafi! 🎶💔Msanii Mbosso ameiaga rasmi label ya WCB Wasafi baada ya kufuta maelezo ya usajili wake ...
09/02/2025

Mbosso Aaga Rasmi WCB Wasafi! 🎶💔

Msanii Mbosso ameiaga rasmi label ya WCB Wasafi baada ya kufuta maelezo ya usajili wake kwenye bio yake ya Instagram leo. Hatua hii inazua maswali mengi kuhusu hatima yake ya muziki nje ya label hiyo. Mashabiki wanasubiri kwa hamu kusikia hatua yake inayofuata! 🔥🎤

Unadhani atajiunga na label nyingine au atajitegemea? 🤔👇🏾

Follow Captain Nyota Tv for daily updates🙏🙏👌💪

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Captain Nyota Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Featured

Share