Uradi ya news

Uradi ya news We give you the latest news happenings in Kenya and around the world in Sheng

Ombitho ya mita 5 imewaiwa mtaa ya Homa Bay na NACADA baada ya kupiga usoro kwa ndakla za mastude wa UnyFuakala aina ya ...
11/09/2025

Ombitho ya mita 5 imewaiwa mtaa ya Homa Bay na NACADA baada ya kupiga usoro kwa ndakla za mastude wa Uny
Fuakala aina ya Oris na Supermatch za 100k zilipatikana ndakas ya hii ndakla na watu mbekse wakanyakwa
Usoro imeshow 30% ya mastude hutumia kinduku na 40% ni wa kumochoa

Watu 300 wako ndakas juu ya uthegi imekuwa KanairoKomanda wa Mambaru Nairobi Central Philomen Nyakombo amesema hawa wase...
09/09/2025

Watu 300 wako ndakas juu ya uthegi imekuwa Kanairo
Komanda wa Mambaru Nairobi Central Philomen Nyakombo amesema hawa wasee walinyakwa wamejipin na daga na silaha zingine
Nyakombo anadai wasee wana banja kwa social media ati Kanairo ni kubad na ni vako
CBD imekuwa bad magizani

Karambee ku shineHarambee Stars wamepee Seychelles beating ya kimataifa wakiwanyuka mbwangaRyan Ogam na Capi Michael Olu...
09/09/2025

Karambee ku shine
Harambee Stars wamepee Seychelles beating ya kimataifa wakiwanyuka mbwanga
Ryan Ogam na Capi Michael Olunga wamewai brace na Sichenje akifunga moja

Chuo ya St.George Secondary imetingwa leo juu ya mastude ku strikeNgori ilianza venye mode alibitika stude na kumvunja j...
08/09/2025

Chuo ya St.George Secondary imetingwa leo juu ya mastude ku strike
Ngori ilianza venye mode alibitika stude na kumvunja jaw after wamekwara kurudi kidato juu walikuwa wakicheki blood moon eclipse
Hapa ndio mastude walijaa gas na wakuzusha design waliitiwa makarao

Msee mjaste ako juu ya mating after kudandiwa na ndeng'a Alikuw ameisunda kwa fridge yake mtaa ya UtawalaMambaru walipig...
07/09/2025

Msee mjaste ako juu ya mating after kudandiwa na ndeng'a
Alikuw ameisunda kwa fridge yake mtaa ya Utawala
Mambaru walipiga usoro kwa jaske ya Brown Carlos venye walipelekwa na rieng ati amejipin
G***k ya Brown ilikuwa na bullets 17 na saa ako stenje akitegea kufikishwa mbwenya

Raiyaa mtiech wameshangaa after stude wa chuo iko Makueni alikulwa sus venye alipatwa na jojo kwa bagikoBadeng alipigwa ...
03/09/2025

Raiyaa mtiech wameshangaa after stude wa chuo iko Makueni alikulwa sus venye alipatwa na jojo kwa bagiko
Badeng alipigwa fine ya 16k ikidaiwa ni ya kubayia chuo mzima
Mathake anadai hii chewing gum iliachwa by mistake na anazusha shule inatesa mniaju wake mwenye anafaa kuduu KCSE

Govana wa Kanairo Johnson Sakaja amepewa siku sitini achangamke ku deliver ama aonyeshwe mngolaHii imemuok after maMCA w...
02/09/2025

Govana wa Kanairo Johnson Sakaja amepewa siku sitini achangamke ku deliver ama aonyeshwe mngola
Hii imemuok after maMCA wa Kanairo kutishia kumchuja lakini waka meet na Orezzo na Rao wakaambiwa wacheze chini

Mambaru mtaa ya Kikuyu wamedandia stude wa UON na ngori ya kugenyesha morio wake after wamevuruguna nani ata flash toile...
02/09/2025

Mambaru mtaa ya Kikuyu wamedandia stude wa UON na ngori ya kugenyesha morio wake after wamevuruguna nani ata flash toilee
Kulingana na maneiba hawa roommates walivuruguna na venye kalinuka zaidi suspee akakula Brian Wambui ma ukapi hadi aka bleed out na kugenya

Manager wa Habanos ako juu ya ngori after mbwenya kusema adandiweHii imemuok venye raiyaa walizusha kuhusu kelele mob in...
02/09/2025

Manager wa Habanos ako juu ya ngori after mbwenya kusema adandiwe
Hii imemuok venye raiyaa walizusha kuhusu kelele mob inatoka kwa hii bukla na despite mbwenya kuwa show wacheze nichi asapo 2024 doba bado ilizidi kucheza loud

Former nominated seneta Gloria Orwoba leo ametolewa siaka na mambaru time ali try ku access parliament Orwoba alikuwa am...
27/08/2025

Former nominated seneta Gloria Orwoba leo ametolewa siaka na mambaru time ali try ku access parliament
Orwoba alikuwa amemuja na court orders ku show anafaa kurudishwa mboka lakini kikamramba

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uradi ya news posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share