Mnazi Mo Jah

Mnazi Mo Jah Everything you are going through
has a purpose for your evolution. Learn to love and be stronger 🫶🏿

15/08/2025
Ushawai jiuliza.wewe hapo ukifa Leo..Je watu watafrahia mazishi yakoama utaongezea watu shidaKwa kukuchangia ndio uende ...
16/07/2025

Ushawai jiuliza.wewe hapo ukifa Leo.
.Je watu watafrahia mazishi yako
ama utaongezea watu shida
Kwa kukuchangia ndio uende mortuary.alaf uchangiwe tena ndio utoke.

Ndugu tafuta pesa.hata mtu akija Kwa mazishi yako,
aseme marehemu amejipanga.
.Kwa sababu
k**a ni soda zitakuwa Kwa wingi,
mchana pilau.ndio uende ukazikwe.

Sio MTU 😆 aanguke kwenye msiba wako.juu ya njaa hio NI aibu.

Tafuta hela 💰.sje Watu wakaja na sheria ovu.kwenye mazishi yako.eti anachelewesha Muda.Azikiwe kila mtu aende akatulie.uwa inauma hio kauli.

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mnazi Mo Jah posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mnazi Mo Jah:

Share

Category