
19/07/2025
Chemistry was one hell subject!!!πππ
Unaingia exam room unapata Q1 hujawai sikia tangu form oneππunaenda Q2,unapata inasema explain your answer in Q1above!!!πunaisha na nguvu unasonga Q3,,kumbe inasema discuss your answer in Q2π²unangalia wenye wako around unaona huwezi discuss nao coz index number yao ni mbaya afadhali yakoπunaenda Q4 wanauliza types of bonds na zenye unajua ni Eurobond na james bond pekeeπunauma kalamuπkidogo chopi anaendia extra paper unashindwa ni kurogwa ama nini?πkabla huyo kuketi mwingine anasimama na kusema Q7 iko na shida na hio pekee ndio ulicalculate ukapata 0.076456 unaamua kulalia mezaπna unaota kuna uncle wako ako jeshi atakuorganizia uingie after chuoππunaamka ghafla unakumbuka uncle wako ni jeshi la wokovuπ©ππ€¦
Weweπ«΅saa utajuaje nki post tena na hutaki Ku LIKE my page??ππππ
Follow me πkijana wetu